LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
U.S. Secretary of State Marco Rubio stated that the United States voted against the UN resolution condemning Russia for its war of aggression in Ukraine because it was "antagonistic" and contradicted efforts aimed at negotiating an end to the war.

According to the U.S., if the UN wants to be useful in the 21st century, it should return to its core mission of "preventing and ending wars and conflicts," Rubio said.

"President Trump wants to end this war. He believes that too many people have died and wants to put an end to it. Frankly, we decided that it was not worth creating something antagonistic at the UN against one of the parties. We are trying to bring these guys to the negotiating table," the U.S. Secretary of State stated.
 
Türkiye is not against Ukraine's membership in NATO, as this is not solely an aspiration of the Ukrainian people to attain such a status but rather a desire to have security guarantees for their country.
#SupportUkraine #StandWithUkraine #Türkiye #Erdogan #Fidan
 
Canadian Prime Minister Justin Trudeau has announced new military aid for Ukraine, including infantry fighting vehicles, landing systems, and flight simulators for F-16 fighter jets, as well as the first tranche of assistance funded through revenues from frozen Russian assets.
#SupportUkraine #StandWithUkraine #Canada
Flight simulator tena😳
 
Baada ya sponsor kuwapiga chini, Mmeanza kutembeza bakuli!
If Russia hasn’t been able to occupy more than 19% of Ukraine since 2014, how can it defeat NATO or seize Europe? It’s impossible. Their plans are failing, their army is weakening. It’s time to stop Moscow in Ukraine. Ukraine’s victory is Europe’s security. The time to act is NOW.

If you would like to support our efforts, you can donate as much as you like by clicking on the link:

Thanks for everything 💙💛
 
Kwenye hili la kulipua Nord stream 2 Germany sijui walifikiria nn? Walijua wanaikomoa Russia, ikawarudi kuharibu uchumi wao na kansela wao amechomolewa madarakani sababu kubwa ikiwa ni kudorora kwa uchumi hasa wa viwanda kulikosababishwa na uharibifu wa Nord stream 2

Sijui kwanini huwa tunawaona wanasiasa wa ulaya ni ma-genius? Huu ujinga angeufanya kiongozi wa Afrika ndio ungekuwa mfano majukwaani
 
February 24, 2025, 7:40 pm ET

Russian forces recently advanced in Kursk Oblast and near Chasiv Yar, Pokrovsk, and Velyka Novosilka.

February 25, 2025, 10:00 pm ET

Russian forces recently advanced in Kursk Oblast and near Kupyansk, Lyman, and Velyka Novosilka.

Kwenye hili la kulipua Nord stream 2 Germany sijui walifikiria nn? Walijua wanaikomoa Russia, ikawarudi kuharibu uchumi wao na kansela wao amechomolewa madarakani sababu kubwa ikiwa ni kudorora kwa uchumi hasa wa viwanda kulikosababishwa na uharibifu wa Nord stream 2
Trump atamaliza miaka yake minne ya utawala akiacha mabadiliko makubwa duniani.

Kama sera yake ya Amerika kwanza itafanikiwa, mataifa mengi yatashawishika kufata mkondo huo, kama tulivyoona kuibuka kwa chama cha AfD ujerumani uchaguzi uliopita chenye mlengo kama huo.

Siioni future ya NATO.
 
Russia says its forces have retaken two settlements in Kursk

Russia claims its forces have retaken two settlements from Ukrainian control in its Kursk region.

The villages of Orlovka and Pogrebki are northwest of Sudzha, the main town in the Kursk region captured by Ukraine in a surprise offensive last August.

Wednesday 26 February 2025 11:13, UK

Kwenye hili la kulipua Nord stream 2 Germany sijui walifikiria nn? Walijua wanaikomoa Russia, ikawarudi kuharibu uchumi wao na kansela wao amechomolewa madarakani sababu kubwa ikiwa ni kudorora kwa uchumi hasa wa viwanda kulikosababishwa na uharibifu wa Nord stream 2

Sijui kwanini huwa tunawaona wanasiasa wa ulaya ni ma-genius? Huu ujinga angeufanya kiongozi wa Afrika ndio ungekuwa mfano majukwaani
Sisi tunakitu kinaitwa "inferiority complex". Lakin ukiangalia wazungu zaid ya wizi wa mababu zao ni hawana akili kabsa kabsa!!!

Huyo chancellor alijua kabsa kuwa anaenda kushindwa ila hakugeuka nyuma!!! Kura za maoni zilikuwa zinamuangusha ila wapi!!!

Nahisi ni kama mawaziri wakuu wa uingereza wanaingia na kutoka maana pensions za kimaisha zipo, so hata akihudumu siku kumi tuu inatosha kabsa kuwa tajiri milele!!

Viongozi wengi wa ulaya wako tayari watawaliwe na USA kuliko mwenzao urusi, wanawaogopa mno
 
Kwenye hili la kulipua Nord stream 2 Germany sijui walifikiria nn? Walijua wanaikomoa Russia, ikawarudi kuharibu uchumi wao na kansela wao amechomolewa madarakani sababu kubwa ikiwa ni kudorora kwa uchumi hasa wa viwanda kulikosababishwa na uharibifu wa Nord stream 2

Sijui kwanini huwa tunawaona wanasiasa wa ulaya ni ma-genius? Huu ujinga angeufanya kiongozi wa Afrika ndio ungekuwa mfano majukwaani
Ule msemo wakukata tawi ulilokalia ndio Germany aliutekeleza.
 
Trump anaonesha dharau sana kwa EU, msamiati wa lugha ya kidiplomasia hauna nafasi kabisa kwake. 😀 😀
Nadhani pamoja na kaliba yake ya who cares, kwa upepo alioingia nao madarakani msimu huu naona trump amedhamiria kulipiza kisasi kutokana na hujuma au mkwamo aliowekewa na wapinzani wake wa ndani na nje ya US kutotawala muhula wa pili. Jamaa alipigwa vita karibia na kila mtu hadi waliokuwa ndani ya chama chake. Sasa ni kama anafanya maamuzi yanayolenga kuwaathiri wote kisiasa na kiuchumi ikiwemo wanasiasa wa europe waliokuwa wanashadadia asipewe muhula mwingine wa uongozi.
 
Back
Top Bottom