SPEEDAF Carrier na uhuni wenu wa kitoto mnaotufanyia

Poleni mliokumbwa na masahibu. Mimi mara mbili zote jamaa wamedeliver on time bila usumbufu wowote. Nadhani agents wao ndio wazinguzi
 
Hawa airtel mastercard wana changamoto kwa sasa.

Mnatumia card gani kwa sasa tofauti na hawa airtel? Maana nna mzigo nilitaka kulipia asap!
 
Msaada wakuu. nimeagiza aliexpress carrier ni cainiao super economy global....Je hawa jamaa si ndo speedaf?

Tracking no imeanza na UV72. Make naona mzigo umefika tar 4 dec ila bado kimya
 
Msaada wakuu. nimeagiza aliexpress carrier ni cainiao super economy global....Je hawa jamaa si ndo speedaf?

Tracking no imeanza na UV72. Make naona mzigo umefika tar 4 dec ila bado kimya
Huo utapokelea posta, wanachelewesha sana. Speedaf wanaanza na TZ..
 
Kama hutaki refund elezea njia gani utafidiwa mzigo wako?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…