SPEEDAF Carrier na uhuni wenu wa kitoto mnaotufanyia

SPEEDAF Carrier na uhuni wenu wa kitoto mnaotufanyia

Naomba mwenye namba za speedaf anisaidie. Mizigo yangu kwenye tracking wanayo tangu tarehe 4/7 ila mpaka Sasa naona kimya.
 
Leo nimepokea mzigo wangu. Makao makuu wapo faster sana kutoa mizigo kuja mikoani. Delivery huku tulipo ndio inakuwa slow.
Package ilikuwa ni wireless keyboard & mouse.
Nawasilisha mrejesho wakuu.
View attachment 2655034

Jamaa wezi sanaa.
Speedaf ni wezi sana wanatumia watu wahuni wa vijiweni kuleta mizigo wakiona simu kali wanapita nayo na huku online unaambiwa umeshapokea mzigo tayari

Mimi ninefungua dispute Ali express nafatilia refund kwa selller.
 
Update nimefanikiwa kurudishiwa pesa zangu ,imechukua wiki tu kupata refund.

Spedaf wahuni wezi hawafai.
IMG_3747.jpg
 
Speedaf si wana hq yao hebu tutulie man tuwaandikie email ya malalamiko kuelezea tunachofanyiwa na maagent wao .Nipate ushahidi kutoka kwa buyer hata watano hivi tu attach maisha yasonge
 
Mi nimelalamika sana, munifundishe iyo spedaf nawapataje Aliexpress naona mumenigomea, nimewaomba adress ya0 ya china ili nipeleke mzigo pia mmenigomea no suweti, sasa nishapata mkombozi, kwa bei ile ile kama ya posta kwa vipasel vyangu vidogo vidogo vya 0.1kg.. 0.2, 0.3kg,
Ndan ya siku 10-15
 
Jamaa wezi sanaa.
Speedaf ni wezi sana wanatumia watu wahuni wa vijiweni kuleta mizigo wakiona simu kali wanapita nayo na huku online unaambiwa umeshapokea mzigo tayari

Mimi ninefungua dispute Ali express nafatilia refund kwa selller.

Kama uko Dar nenda ofisini Migombani Mikocheni, pia walinifanyia hivi nikaenda, nikafanikiwa kupata mzigo wangu.
 
Mi nimelalamika sana, munifundishe iyo spedaf nawapataje Aliexpress naona mumenigomea, nimewamba adress ya ya china ili nipeleke mzigo pia mmenigomea no suweti, sasa nishapata mkombozi, kwa bei ile ile kama ya posta kwa vipasel vyangu vidogo vidogo vya 0.1kg.. 0.2, 0.3kg,
Ndan ya siku 10-15

Kwenye shipping chagua Aliexpress standard shipping, anaewasafirishia ni speedaf..
 
Huwa nachagua sana iyo ila kila pasel inayokuja nakuta naenda kuchukulia posta na haina chata iyo ya spidaf, labda nitajaribu kufuta box namba
 
Huwa nachagua sana iyo ila kila pasel inayokuja nakuta naenda kuchukulia posta na haina chata iyo ya spidaf, labda nitajaribu kufuta box namba
Mbona wengi tuna sanduku la posta na bado speedaf wanatusafirishia percel zetu? Kwa nini iwe tofauti kwako?
Ukichangua aliexpress standard shipping au aliexpress super economy global basi ujue speedaf ndio watakao pokea mzigo na kuusafirisha.
 
Wadau wa manunuzi online aliexpress ...ivi nikinunua hii bidhaa 👇👇 makadirio ya kodi ya VAT ita vhargiwa kama bei gan ivi.
Bei yake ni kama 122090 Tsh ktk mtandao ..je hesabu za kodi ya VAT yanapigwa vipi hapo
 

Attachments

  • -1320495516-490480983.jpg
    -1320495516-490480983.jpg
    45 KB · Views: 22
Siwezi jua tatzio ni nn au labda kuna kitu kwenye profile akaunt yangu akipo sawa.. Ila tokea ninunue vitu kwakweli sijawai tumiwa kwa spedaf, sana sana pasel zikija zinaishia posta nayotumia na pasel zote sijawai kuta ikiwa na chata izo za spedaf, na sijawai tumia shipping ya aina moja, nimeshatumia standard, super economy, na ata fre shipping mara nyengine
 
Hii kitu nimeishangaa hata mimi. Nilinunua Smartwatch mtandaoni ikafikia Mkoani. Cha kushangaza mzigo nimekabidhiwa stand ya bus. Mazingira ya kupoteza mzigo ni makubwa sana. Kwenye kukabidhiwa mzigo hata sikuombwa utambulisho wangu. Kuna kitu wanatakiwa kufanya.
Duh hatari sana mkuu, na mm niko mkoani na kuna percel yangu imetua bongo na inaonyesha tayar imeshaondoka dsm so huenda na mie ntakabidhiwa stand 😀😀
 
Duh hatari sana mkuu, na mm niko mkoani na kuna percel yangu imetua bongo na inaonyesha tayar imeshaondoka dsm so huenda na mie ntakabidhiwa stand [emoji3][emoji3]
Lakini wanajitahidi kwenye suala la uaminifu
 
Back
Top Bottom