SPEEDAF Carrier na uhuni wenu wa kitoto mnaotufanyia

Wale mlionunua mzigo yenu wiki mbili nyuma mmeshapokea mizigo yenu?
Mimi bado sijapokea japo tayari imesharuhusiwa kuja kibaha. Ni siku ya tatu sasa tangu niambiwe umeshatumwa kibaha na sijatumiwa sms wala kupigiwa simu na ajent wao wa picha ya ndege.
Je, na kwa walio mkoani bado hamjapokea mizigo yenu?
 
Nimepokea tare 30, niliagiza tar 15
 
Leo nimepokea mzigo wangu. Makao makuu wapo faster sana kutoa mizigo kuja mikoani. Delivery huku tulipo ndio inakuwa slow.
Package ilikuwa ni wireless keyboard & mouse.
Nawasilisha mrejesho wakuu.
IMG_20230612_160936.jpg
 
Back
Top Bottom