SPEEDAF Carrier na uhuni wenu wa kitoto mnaotufanyia

SPEEDAF Carrier na uhuni wenu wa kitoto mnaotufanyia

Ni sisi wabongo tunakosea au mfumo? Uber walikuja wakasepa wakasema ni vigumu kufanya biashara Tanzania, hawa nao wameamka na changamoto shida iko wapi? Elimu yetu? Tabia zetu?
 
Hapana Speedaf wanasafirisha ukichagua Aliexpress stadard shipping.Cainio super economy mizigo itachelewa sana maana hata gharama yake iko chini sana.
Cainio super economy global huwa pia wanatumia Speedaf. Mzigo ndani ya siku 15 umefika.
IMG_20230519_225622.jpg
 
Me huwa natumia yanwen economic airmail

Huwa hawachelewi ..mzigo wa mwsho nilichagua hio yanwen nakuja kuta unaletwa na cainiao nikamuuliza seller akasema Ni the same tu inakuja na ndege ..ndo baada ya siku 12 nikapigiwa na watu wa AliExpress kikuu nikaenda chukua nikakuta mzigo una nembo ya speedaf

Hapana Speedaf wanasafirisha ukichagua Aliexpress stadard shipping.Cainio super economy mizigo itachelewa sana maana hata gharama yake iko chini sana.
 
Msaada tafadhaliii hilo tatizo nilibonyeza link ki makosa ....sasa inatumaa ujumbe Netflix automatically Twitter na WhatsApp msaada tafadhaliii

Screenshot_2023-05-20-21-21-21-36.jpg
 
Back
Top Bottom