SPEEDAF Carrier na uhuni wenu wa kitoto mnaotufanyia

labda kwa Dar lakini huku mikoani ni changamoto, kama mdau mmoja hapo juu alipolalamika kufata mzigo wake nyumbani kwa mtu ana akamkuta na pacel kibao
Tuwape mda mkuu naimana wataboresha huduma zao
 
Wakuu nmenunua kitu AliExpress tarehe 28 Disemba 2022 kwenye akaunti imeaniandika estimated delivery by January 20,ila mpaka leo niki track inaonesha hv..je hapo parcel Itakuwa imefika wapi?na je ikipita hyo tarehe 20 waliyo estimate natakiwa kufanya nn?
 

Attachments

  • 8D319546-7DD1-4463-BF13-76891950A120.jpeg
    62.7 KB · Views: 40
Chukua hio trackin number kisha track kupitia website ya posta mwa inter .parcel utaona jibu sahihi
 
Nenda posta kachukue goma lako hio ni Bukoba au wapi hapo
 
Nimepigiwa simu na jamaa.hiv ofisin kwao kiurahis unafikaje?
 
Unatumia nguvu kubwa kusolve tatizo dogo.

Chukua tracking number track uzuri speedaf kama mzigo umekuwa signed wanaandika namba ya mtu aliyesign.

Mpigie huyo mtu kama akikukataa then ndio utaanzia hapo.

Acha kuishi gizani mzee.
 
duh, em muwe na uungwana , umethibitisha kabisa mzigo umefika ukawa delivered kwa mtu mwingine bado ukadai 'refund' kweli ? sishangai kwanini baadhi ya sellers hawa ship Tz


Just imagine ameshindwa hata kutrack na kuona taarifa za mtu aliyepokea mzigo wake.

Wanaweka jina na namba kabisa, In such a way akimpigia huyo mtu anaweza kupata mzigo wake.
 
Kosa ni lipi au hujaelewa hoja item ifike posta kwa mfano mtu wa posta ajifanyie delivered mwenyewe , ukienda unaambiwa item yako haijawahi fika hapa na hawaitambui, ungefanya nini kwa mfano
Tracking number ilikuwa inasoma mzigo umekuwa derivered kwa nani?

Kuna vitu umefanya havikuwa na ulazima wa kurudi kwa Supplier wa Aliexpress.
 
Icheleweshwe kupokea mizigo yako wala kupewa bei kubwa kusafirisha mizigo kutoka China-Tanzania kwa Ndege...!
Jiunge nasi ili :
■Uokoe pesa kwa kupewa gharama rahisi za usafirishaji
■Uokoe muda kwa kupata huduma kwa uharaka
■Uwahi soko kwa kupata mizigo yako kwa uharaka.

Extra: Home delivery IPO kwa wateja wa Dar na mikoani utatumiwa...!

Contact:

KARIBU NGOKA EXPRESS AIR CARGO.
 
Hakuna seller atakupa refund kwa mzigo ambao unaonesha tayari upo delivered.
Refund unapewa depending na fault ipo wapi hata kama ulishapokea mzigo

Nimepata Refund Juzi kati Hapo..nilipokea mzigo lakini product haifanyi kazi nikadai refund na evidence nikawapa wakarudisha pesa yangu kiroho safi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…