Mafian cartel
JF-Expert Member
- Nov 19, 2021
- 3,876
- 7,118
Nenda ofisini kwao la sivyo utasubiri sanaMimi walinipigia simu a week sasa, lkn hawaja deliver mzigo na simu hapokei!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nenda ofisini kwao la sivyo utasubiri sanaMimi walinipigia simu a week sasa, lkn hawaja deliver mzigo na simu hapokei!!
ofisi ziko wapi naomba ocation. Asante!!Nenda ofisini kwao la sivyo utasubiri sana
Kama upo Dar ofisi zao zipo mikocheni migombani Street geti number 165ofisi ziko wapi naomba ocation. Asante!!
Au nenda Google maps search IAEXP utapata location utaifuata directofisi ziko wapi naomba ocation. Asante!!
Au nenda Google maps search IAEXP utapata location utaifuata directView attachment 2536009
Chagua hiyo-hiyo standard shipping, AliExpress wenyewe ndo watawatumia hao speedafWakuu naomba kuuliza hao speedaf unawaselect vp kwenye shipping method?...maana inakuja aliexpress standard shipping...na je gharama zao zikoje kwa parcel?
Kwa experience yangu ukitumia Aliexpress ukalipia na shipping...mzigo wako ukifika unapewa bure haulipii chochoteWakuu naomba kuuliza hao speedaf unawaselect vp kwenye shipping method?...maana inakuja aliexpress standard shipping...na je gharama zao zikoje kwa parcel?
Habar mkuu.hivi nimeagiza vitu nashkuru awamu iliopita nilipata mzigo.ila sasa awamu hii kuna mzigo code yake inaanza na sy.inakuwa wanasema SUNYOU. Hawa jamaa code zao vip nawapata je.Halafu nilichogundua kuna Kampuni mbili lakini sisi tunatambua moja tu ambayo ni Speedaf
Pale kuna Speedaf na IAEXP...hawa Speedaf ndo Kampuni ya usafirishaji ambao kazi yao ni kusafirisha tu
Ikifika bongo ndo inapokelewa na hao IAEXP ndo wanatukabidhi sisi na kirefu cha hiyo IAEXP ni Inter Africa Express
Maana ukienda pale ofisini kwao unaona Kuna mabango ya IAEXP na sio Speedaf..
Pikipiki zao za delivery zimeandikwa IAEXP na sio Speedaf
Google maps pia Inaonekana IAEXP na sio Speedaf
Speedaf kwa bongo hawana ofisi..ila wana ofisi zao Kenya,Nigeria,Uganda,Egypt na hata ukienda Instagram utaona account zipo active
Kwahyo Mtambue hilo mna deal na Kampuni mbili zinazoshirikiana
Kama Tracking number haianzii na Tz.....basi hao sio Speedaf ni Shipping company nyingineHabar mkuu.hivi nimeagiza vitu nashkuru awamu iliopita nilipata mzigo.ila sasa awamu hii kuna mzigo code yake inaanza na sy.inakuwa wanasema SUNYOU. Hawa jamaa code zao vip nawapata je.
SUNYOU ni kina nan.? Maana kuna bidhaa zingine hazisema ali express standard shippingaliexpress standard shipping ndipo speedaf anaposhikilia
Sunyou ni Shipping company mkuu kama ilivyo SpeedafSUNYOU ni kina nan.? Maana kuna bidhaa zingine hazisema ali express standard shipping
Sasa wao nawapataje mkuu maana kuna mizigo imepitia kwao.Sunyou ni Shipping company mkuu kama ilivyo Speedaf
Duh.si ndio kuibiwa huko tena.Kama Tracking number haianzii na Tz.....basi hao sio Speedaf ni Shipping company nyingine
Kwa Experience yangu hao Sunyou ni Courier(Shipping company) ila hao hawafanyi kazi na IAEXP ambayo kwa hapa bongo imezoeleka kama Speedaf
Kwahyo hao mzigo wako wataupeleka Shirika la posta ndo utaukuta huko
Kwenye tracking inaonesha mzigo wako upo wapiSasa wao nawapataje mkuu maana kuna mizigo imepitia kwao.
Eleza tatizo... Shida inaweza kuwa ipo kwakoJamaa hovyo kabisa
March nilipigiwa simu saa 12 asbh wanauliza napatikana wapi. Nikawaelekeza kwangu ila nikawaambia kuanzia saa 2 asbh nakuwa ofisini (nikawaelekeza). Wakasema wataleta ofisini.Eleza tatizo... Shida inaweza kuwa ipo kwako
Wachina wanajitahidi sana kufanya kazi yao. Watanzania ndio wanakuja kuvurugaMarch nilipigiwa simu saa 12 asbh wanauliza napatikana wapi. Nikawaelekeza kwangu ila nikawaambia kuanzia saa 2 asbh nakuwa ofisini (nikawaelekeza). Wakasema wataleta ofisini. Saa 1 asbh wananipigia eti wameacha mzigo salon iko mtaa wa jirani na wa ofisi yangu. Ghafla mtandao unaonesha nimepokea mzigo.
Kwenda salon jamaa hanijui, haniulizi ID, ananiambia nipekue kwenye draw nichukue mizigo yangu coz jamaa kaacha ya wateja kama wanne. Nikamuuliza kama yeye ni agent, hapana. Kamuomba tu amuchie. Baada ya kuchukua yangu nikamzuga jamaa wa saloon kuwa kuna parcel ina jina la jamaa yangu, nimchukulie. Kajibu sawa tu. Nikaiacha.
Sasa hivi wana wiki wamekaa na parcel yangu.