Hii spider Man no way home nimeshaiona tayari ni ya kawaida sana sema mashabiki wanaipasha sana
Mmh labda kwako wewe Mi paliponishangaza ni pale ambapo Dr strange alipo mpush spider Man kwenye astral projection na bado akaweza ku control body yake hadi Dr strange akashangaa which is impossibleHapo nakataaa kabisa Spider Man NWH ilikuwa hatari mm nilikuwa mmoja wapo kushangilia na kupiga makofi like crazy pale theatre , ile kitu ilijaaa Nostalgia kibao...Hebu fikiria ile Fight scene ya kwenye Mirror dimension
Mmh labda kwako wewe Mi paliponishangaza ni pale ambapo Dr strange alipo mpush spider Man kwenye astral projection na bado akaweza ku control body yake hadi Dr strange akashangaa which is impossible
Ila kwenye avenger endgame Bruce banner wakati anaenda kumpokonya yule sorcer supreme yule mdada alipushiwa kwenye astral projection lakin hakuweza ku control body yake
Wala sifa zisie de kwa director japo nao wana mchango mkubwa, Ila hua nafikiria sana Screenwriter na creator wanawezaje kuunganisha matukio yote ya muvi tofauti tofauti??Sema huko marvel... wale wakina Joe Russo na Anthony Russo na wenzao ni nyoko na nusu, its possible vichwa vyao viko na computer ndani😅😅
Tatizo sio Kwamba kwanini wasingeanza na Captain marvel. Shida ni kua mikakati ya kutengeneza hizo muvi ilikua hajakamilika.eg black widow toka 2003 walikua na plan ya kumtengenezea muvi ila mambo hayakwenda sawa. So wanachofanya mikakati na masuala ya Patent right yakikamilika wanatengenza muvi kisha wanatwist story kidogo ili iendene na mtiririko wa muvi. Kwenye Comics nick hakupoteza jicho ajili ya paka/GooseMarvel wanazingua sana
Yaani utakuta wanaanza prequal halafu sequal yaani vice versa
Unaangalia picha za 2015 up to 2017 unaona Nick fury ana jicho bovu hujui imekuwaje baadae inatoka picha ya captain marvel hivi karibuni unaona jinsi ilivyokuwa kwa nini walishindwa kuianza captain america then captain marvel in order
Mkuu ni kwenye muvi tu ndio walifanya ionekane haiwezekani kurudi, ila kwenye Real lige mtu akifanya Astral projection si hua anarudi kwenye physical body bila msaada wowoteMmh labda kwako wewe Mi paliponishangaza ni pale ambapo Dr strange alipo mpush spider Man kwenye astral projection na bado akaweza ku control body yake hadi Dr strange akashangaa which is impossible
Are you into Couger?? Tilda Swinton sna miaka 61 wewe unamuita mdada?? Btw mume wa huyu mbibi ana 43yrs. Kamzidi miaka 18Ila kwenye avenger endgame Bruce banner wakati anaenda kumpokonya yule sorcer supreme yule mdada alipushiwa kwenye astral projection lakin hakuweza ku control body yake
I know in real sense kwenye astral projection unaweza kurudiMkuu ni kwenye muvi tu ndio walifanya ionekane haiwezekani kurudi, ila kwenye Real lige mtu akifanya Astral projection si hua anarudi kwenye physical body bila msaada wowote
Are you into Couger?? Tilda Swinton sna miaka 61 wewe unamuita mdada?? Btw mume wa huyu mbibi ana 43yrs. Kamzidi miaka 18
After all I'm a movie nerd so I can't help my selfYule mwanamama ni The ancient one na spider aliweza sababu ya spidey sense I guess
Bu the way ur taking the movies too serious, bro enjoy the show acha ku reason kila kitu after all hizi ni peoples imagination tu doesn’t have to be real
After all I'm a movie nerd so I can't help my self
So lazima ni take movie seriously that why kule reddit ,kumejazana watu kama sisi [emoji2]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
View attachment 2061052
Wanda and vision kweli mbaya
Falcon na winter solder pia mbaya
Ila loki hamna nakataa yani wameifanya mpka imekuwa na season 2
Concept ya multiverse imeanzia kule kwenye loki ambapo ndio main theme ya marvel next project after infinity saga ya mzee mzima thanos
Loki ime introduce multiverse war ambapo tutapata next big villain kang the conquer ambaye mmoja wa variant yake atakuwepo kwenye ant man 3
Falcon na Winter Soldier binafsi nimeipenda,
Scene ilinifurahisha ni fight kati ya Dora Milaje na the big mouth John Walker (Captain America), the way he got humiliated nilifurahi sana.
[emoji1787][emoji1787]anashangaa wamempiga halafu akakaa chini akajisemea halafu hata sio super soldierFalcon na Winter Soldier binafsi nimeipenda,
Scene ilinifurahisha ni fight kati ya Dora Milaje na the big mouth John Walker (Captain America), the way he got humiliated nilifurahi sana.