Jorge WIP
JF-Expert Member
- Jul 12, 2018
- 3,567
- 5,323
Hii spider Man no way home nimeshaiona tayari ni ya kawaida sana sema mashabiki wanaipasha sana
Hapo nakataaa kabisa Spider Man NWH ilikuwa hatari mm nilikuwa mmoja wapo kushangilia na kupiga makofi like crazy pale theatre , ile kitu ilijaaa Nostalgia kibao...Hebu fikiria ile Fight scene ya kwenye Mirror dimension