mansellecter
Member
- Dec 4, 2012
- 27
- 0
Kwakwel nchi hii msomi na asiye msomi sawa je kuna haja gani ya kwenda darasan?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukiangalia highlight za rangi nilizoweka utagundua kuna tatizo kwa kila kundi kwa upande hasa kwa wanachama wa CDM....1) upande wa rangi nyekundu CDM wanaunga namba (2)Mhe. Sitta anaongoza kundi la watanzania wanaopinga ufisadi nchini, (1)Mhe. Chenge yeye ni mhanga wa ufisadi kutokana na kashfa ya Rada. (2)Kundi hili inasemekana linaunga mkono hoja ya mfumo wa Serikali tatu. (2)Kundi hili linaunga mkono hoja ya Serikali mbili zilizopo hivi sasa, ila linataka kero za Muungano zitafutiwe dawa ya kudumu.
yupo sugu,anasema bado hajaoteshwa.Mbona wote ni ccm? Ina maana cdm hawana watu wenye uzoefu
Ukiangalia highlight za rangi nilizoweka utagundua kuna tatizo kwa kila kundi kwa upande hasa kwa wanachama wa CDM....1) upande wa rangi nyekundu CDM wanaunga namba (2)
2) Upande wa rangi ya kijani CDM wanaunga namba (1)
Sasa je hawa wajumbe wa CDM watampigia nani hapo??? Ni kwa nini hawasimamishi mtu wao au ndo hakuna mwelewa wa masuala ya sheria ukiachilia mbali Tundu L..?????
Anyways tukiacha masihala Mh Sitta anafaha sanaaa tena sanaaa...
Kazi ipo, sina hamu na Tanzania hii hata waseme serikali kumi sawa tu.
Mbona wote ni ccm? Ina maana cdm hawana watu wenye uzoefu
Hebu fikiria kama wote tutakuwa na na maoni ya kukata tamaa namna yako hii nchi nani ataikpmboa?
Hivi Chenge ni mtu wa aina gani? He keeps on political arena despite the fact that he is alleged of being corrupt. I don't see any thing potential out of him for the next 50 years of the new constitution. I would rather vote for 6. He did well in 2005-2010 in the parliament.