Spika Dkt. Tulia Ackson: Mbeya Watanikumbuka Kwa Ujenzi wa Barabara Njia 4

Siwezi kumlinganisha Sugu na Tulia kwa kuwa siyo subject matter. Bali subject matter ni kuhusishwa Tulia na ujenzi wa barabara ya Igawa- Tunduma.

Tafuta wajinga wa Facebook ndiyo uwadanganye achana na JF, lakini sisi tuna juwa ukweli
Alafu hata kumlaumu sugu ni ujinga wa wazi wazi

halmashauri ya jiji la mbeya ilikua chini ya ccm tokea 2010 mpaka 2015
Wakati chadema wamechukua halmashauri ya jiji la mbeya mwaka 2015 magufuli akasema hapeleki maendeleo kwa majimbo ya upinzani hapo unamlaumuje sugu
 
Magufuli alisema wazi wazi hawezi peleka maendeleo kwa majimbo waliochagua wapinzani unamlaumuje sugu
 
Alibeba Tofari Ngapi ?!!!!

Aisee hii Awamu people are busy patting their backs rather doing what's need to be done....; Ngojea usifiwe sio Blowing your own Trumpet....
 
Alafu hata kumlaumu sugu ni ujinga wa wazi wazi
Magufuli alikua anasema wazi majimbo ya wapinzan hapeleki maendeleo sasa hapo kumlaumu sugu ni kumuonea
Awamu ya kwanza Magufuli hakuwepo,awamu ya pili alikuwa ana rapu na kuhangaika na kesi,mbona mwenzie wa Mikumi na Ifakara Maendeleo yalienda?

Failure ni failure tuu hamna kitu
 
Awamu ya kwanza Magufuli hakuwepo,awamu ya pili alikuwa ana rapu na kuhangaika na kesi,mbona mwenzie wa Mikumi na Ifakara Maendeleo yalienda?

Failure ni failure tuu hamna kitu
Ccm mnavituko miaka 60 ya utawala wenu mawapa lawama chadema
Bungeni mna majority, rais ccm, waziri mkuu ccm, wakurugenzi makada wa ccm ila lawama za umaskin anapewa chadema
 
Mimi sio chawa wa mtu Wala sio mwanaccm Wala sio mwanachadomo,ni raia huru shabiki wa Samia na wale wote wanaoleta maendeleo kama kina Tulia.
Wewe ni chawa kama sio chawa ungejua halmashauri ya jiji la mbeya ilikua chini ya ccm tokea 2010 mpaka 2015
Wakati chadema wamechukua halmashauri ya jiji la mbeya mwaka 2015 magufuli akasema hapeleki maendeleo kwa majimbo ya upinzani hapo unamlaumuje sugu
 
Mbona kama Huyu ni Tulia kabisa na oromo
 
Sasa kwani sijui? Si ndio maana nawauliza Chadema waeleze Wakifanya kipi Cha maana hapo Mbeya?

Mbeya imebadilika awamu ya 5 kidogo na awamua ya 6 zaidi.

Nakupa mwenendo wa mapato ndani ya miaka 2 ya Samia Jiji limekuza mapato kutoka bil.15.7 za 2021/22 Hadi Bil.18 mwaka 2022/23 ndio unaona zinajenga Barabara,mashule,Vituo vya Afya nk
 
halmashauri ya jiji la mbeya ilikua chini ya ccm tokea 2010 mpaka 2015
Wakati chadema wamechukua halmashauri ya jiji la mbeya mwaka 2015 magufuli akasema hapeleki maendeleo kwa majimbo ya upinzani hapo unamlaumuje sugu
Mapato ya Jiji mlikuwa mnakusanya wenyewe na kupanga Bajeti wenyewe,mlifanyia nini? Ndio mtueleze maana Serikali Huwa haichukui mapato ya Halmashauri
 
Huyu njiti mjivuni sana
 
Halmashauri ya Wilaya Mbeya​

Julai 25, 2018.

Ajali mkoa wa Mbeya kubaki historia​

Imewekwa: July 25th, 2018
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amebainisha mikakati ya kutokomeza ajali mkoani Mbeya akiwa kwenye ziara ya kikazi Julai 25, 2018.

Mhe. Samia amesema mikakati hiyo ni ya muda mrefu na muda ambapo Serikali itatengeneza barabara ya magari makubwa na magari madogo.

Makamu wa Rais ameitaja mikakati hiyo alipokuwa anatoa pole kwa wananchi katika eneo la Mbalizi lililopo Halmashauri ya Wilaya ya Mbeya kuwa mpango wa muda mfupi ni kutengeneza barabara ya magari madogo ya St. Marcus-Mbalizi.

“Tumeamua magari makubwa yapite barabara yake na magari madogo yapite kwenye barabara yake kwa kuyatengenezea njia zao maalumu.

Lakini hili la kutengeneza barabara ya magari makubwa ni utekelezaji wa muda mrefu, hivyo kwa muda huu tunatengeneza barabara ya magari madogo, ikikamilika magari madogo yote yatapita katika barabara hiyo na barabara hii inayotumika sasa yatabaki magari makubwa tu mpaka barabara yao itakapokamilika”

Ajali katika mkoa wa Mbeya zimekuwa zikitokea mara kwa mara kwa kuhusisha magari makubwa na madogo, ambapo kwa mwezi Juni 2018 jumla ya ajali tatu zimetokea na kusababisha vifo vya watu 45.

Aidha Makamu wa Rais, amesema atafanya ziara ya kutembelea mkoa wa Mbeya kwa muda wa siku sita kuanzia Julai 25 hadi Julai 30 2018 ambapo atatembelea na kukagua miradi ya maendeleo katika wilaya zote.

Source : Ajali mkoa wa Mbeya kubaki historia
 
Mzee unafeli sana,tatizo sio mipango Wala mikakati Bali ni mtu wa ku push utekelezwaji wa Mipango.

Hata bwawa la Nyerere lilikuwepo kwenye Mpango lakini anasifiwa Mwendazake aliyeamua kutekeleza.
 
Mapato ya Jiji mlikuwa mnakusanya wenyewe na kupanga Bajeti wenyewe,mlifanyia nini? Ndio mtueleze maana Serikali Huwa haichukui mapato ya Halmashauri
Kuanzia mwaka 2015 mpaka 2020 waulize wakazi wa mbeya mimi sio mkazi wa mbeya na sijawah kuwa mkazi mbeya
Nilikua najaribu kushahisha upotoshaji wako
 
Mzee unafeli sana,tatizo sio mipango Wala mikakati Bali ni mtu wa ku push utekelezwaji wa Mipango.

Hata bwawa la Nyerere lilikuwepo kwenye Mpango lakini anasifiwa Mwendazake aliyeamua kutekeleza.
Umejibiwa upotoshaji wako umeamua kubadilisha gia
Hata huo mradi wa kiwira sugu aliongea kipindi magufuli kafanya ziara mkoa mbeya
Sugu alisema suluhisho la maji mbeya ni kuchukua mto kiwira mimi niliona kwenye taarifa ya habari lakin leo unamsifia tulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…