Spika Dkt. Tulia Ackson: Mbeya Watanikumbuka Kwa Ujenzi wa Barabara Njia 4

Haijalishi! 2025 tunasimama na mwenye jimbo lake, barabara huo ni wajibu wenu na sio hisani!!
Sasa huyo kopp unaesimama nae wewe akusaodie Kwa lipi? Watu wanataka anaetimiza wajibu sio kupayuka hovyo
 
Sahihisho: Halmashauri ya Jiji la Mbeya ilikuwa chini ya CCM mwaka 2000-2010. Sugu aliingia 2010- 2015 halafu 2015-20.

Tulia ameingia 2020 baada ya Magufuli kumpa ubunge wa bila kupigiwa kura
Na hata 2015 mpaka 2020 baada ya kuwa chini ya chadema
Magufuli aliamuru makusanyo yote ya halmashauri yaende hazina kwanza yaani wakitaka hela kwa ajili ya maendeleo wamuombee tena magufuli

Na magufuli hakuishia hapo akasema hapeleki maendeleo kwa wapinzani kwa kutowapa ruhusa ya kutumia mapato kutoka kwenye halmashauri zao

Simtetei sugu ila kwa mazingira hayo unamlaumuje
 
Sasa huyo kopp unaesimama nae wewe akusaodie Kwa lipi? Watu wanataka anaetimiza wajibu sio kupayuka hovyo
Chawa inatakiwa ujue hili
Na hata 2015 mpaka 2020 baada ya halmashauri ya mbeya kuwa chini ya chadema
Magufuli aliamuru makusanyo yote ya halmashauri yaende hazina kwanza yaani wakitaka hela kwa ajili ya maendeleo wamuombee tena magufuli

Na magufuli hakuishia hapo akasema hapeleki maendeleo kwa wapinzani kwa kutowapa ruhusa ya kutumia mapato kutoka kwenye halmashauri zao
 
We chawa wa kopo Sugu Usinichoshe ni zamu ya huyo kopo wako kuonesha alichofanya, Wapinzani wenzie Wana Cha kuonesha kama Prof.Jay nk
 
We chawa wa kopo Sugu Usinichoshe ni zamu ya huyo kopo wako kuonesha alichofanya, Wapinzani wenzie Wana Cha kuonesha kama Prof.Jay nk
Chawa wa ccm hujui hata
Kipindi cha magufuli alilazimisha halmashauri zote zipeleke mapato yao hazina hadi hili ulikua hulijui kweli wewe ni chawa mbobefu
 
Lini sheria ilibadilishwa hela zikawa chini ya Magufuli? Sugu ni mzigo
Hauko conversant na issues japo unabisha sana. Mwaka 2016 baada ya Magufuli kuwa Rais, alianzisha mfumo ambao makusanyo yote ya Halmashauri yanakwenda Hazina kuu. Then halmashauri zitakuwa zinaomba Hazina fedha za miradi na matumizi ya kawaida.

Kama hilijui hili wewe siyo mtu makini. Alone Artifact Collector
 
Tukukumbuke kwani hizi barabara ulijenga kwa zile fedha za mgao wako wa dipii wedi?
 
Onyesha miradi ambayo kina Sugu wali I plan wakanyimwa pesa Kwa sababu ya pesa kwenda hazina.

Pili kwani saizi pesa zote haziendi hazina?
 
Hizo za Baba yake.
 
Lini sheria ilibadilishwa hela zikawa chini ya Magufuli? Sugu ni mzigo
Basi nabishana na mtoto ina maana na hili hulijui ambalo lilitokea mwaka 2015
ana ubishi wa kitoto na wakati mambo yalikua wazi nimeshangaa hadi hilo alikua halijui

Magufuli alichukua mamlaka za halmashauri na hiki kitendo wadau wengi wa maendeleo walikipinga sana na baada ya kuchukua hizo mamlaka akawa na ujasiri wa kusema hapeleki maendeleo kwa majimbo ya wapinzani sababu hata wakiomba hela za maendeleo anapiga chini hilo ombi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…