Spika Dkt. Tulia Ackson: Mimi naomba Mungu anicheleweshe kidogo

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
2,060
Reaction score
5,648
Akishiriki kuaga mwili wa aliyekua Mbunge wa Kigambonio na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Ukanda wa Afrika Dkt. Faustine Ndugulile, leo tarehe 02 Disemba, 2024, Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson amesema:

"Namuomba Mungu kwenye hii safari ambayo kila mmoja ataenda basi mimi anicheleweshe kidogo, kama neno linavyosema ili tukisema nimevipiga vita iwe nimevipiga kweli na Imani nimeilinda"

Soma, Pia: Dkt. Tulia: Dkt. Faustine Ndugulile ametuachia simanzi kubwa

"Namuomba Mungu kwenye hii safari ambayo kila mmoja ataenda Basi mimi anicheleweshe kidogo, Kama neno linavyosema ili tukisema nimevipiga vita iwe nimevipiga kweli na Imani nimeilinda"
Maisha wanayoyadhulumu kwa maamuzi, ufisadi na kutochukua hatua stahiki ni mlango wa kuharakisha safari.

Asili haitowaacha wadumu sana
 
"Namuomba Mungu kwenye hii safari ambayo kila mmoja ataenda basi mimi anicheleweshe kidogo, kama neno linavyosema ili tukisema nimevipiga vita iwe nimevipiga kweli na Imani nimeilinda"
akucheleweshe uzidi ukatae kujadili kutekwa kwa watanzania/wanachadema.. Uwe chawa wa serikali, the executive badala ya kusimamia serikali?
 
"Namuomba Mungu kwenye hii safari ambayo kila mmoja ataenda basi mimi anicheleweshe kidogo, kama neno linavyosema ili tukisema nimevipiga vita iwe nimevipiga kweli na Imani nimeilinda"

Ukishazaliwa tu, ujue ushaingia kwenye mfumo wa kifo...
 
Akishiriki kuaga mwili wa aliyekua Mbunge wa Kigambonio na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Ukanda wa Afrika Dkt. Faustine Ndugulile, leo tarehe 02 Disemba, 2024, Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson amesema:

"Namuomba Mungu kwenye hii safari ambayo kila mmoja ataenda basi mimi anicheleweshe kidogo, kama neno linavyosema ili tukisema nimevipiga vita iwe nimevipiga kweli na Imani nimeilinda"
Kwa haya yote unayoyafanya na kuyasimamia ndiyo unasema unaipiga vita vizuri? Wewe sikuombei lolote, ila na Mungu ajidhihirisha kwako katika namna itakayowagusa na kuwafurahisha waja wake.
 
Akishiriki kuaga mwili wa aliyekua Mbunge wa Kigambonio na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Ukanda wa Afrika Dkt. Faustine Ndugulile, leo tarehe 02 Disemba, 2024, Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson amesema:

"Namuomba Mungu kwenye hii safari ambayo kila mmoja ataenda basi mimi anicheleweshe kidogo, kama neno linavyosema ili tukisema nimevipiga vita iwe nimevipiga kweli na Imani nimeilinda"
Wanaondoana wenyewe Mungu amekaa pembeni anawaangalia
 
Wee naue
Akishiriki kuaga mwili wa aliyekua Mbunge wa Kigambonio na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Ukanda wa Afrika Dkt. Faustine Ndugulile, leo tarehe 02 Disemba, 2024, Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson amesema:

"Namuomba Mungu kwenye hii safari ambayo kila mmoja ataenda basi mimi anicheleweshe kidogo, kama neno linavyosema ili tukisema nimevipiga vita iwe nimevipiga kweli na Imani nimeilinda"

Soma, Pia: Dkt. Tulia: Dkt. Faustine Ndugulile ametuachia simanzi kubwa
Wee naye vita gani utavipiga? Vilio vya walio tekwa na kuuliwa ww ulitakiwa uwatetee lakin ulikaa kmya ,ivyo vita na Iman unayolinda labda ya ccm ila sio ya mbingun
 
Back
Top Bottom