Spika Dkt. Tulia Ackson: Mimi naomba Mungu anicheleweshe kidogo

Spika Dkt. Tulia Ackson: Mimi naomba Mungu anicheleweshe kidogo

Akishiriki kuaga mwili wa aliyekua Mbunge wa Kigambonio na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Ukanda wa Afrika Dkt. Faustine Ndugulile, leo tarehe 02 Disemba, 2024, Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson amesema:

"Namuomba Mungu kwenye hii safari ambayo kila mmoja ataenda basi mimi anicheleweshe kidogo, kama neno linavyosema ili tukisema nimevipiga vita iwe nimevipiga kweli na Imani nimeilinda"

Soma, Pia: Dkt. Tulia: Dkt. Faustine Ndugulile ametuachia simanzi kubwa

"Ombeni kwa Allah pepo ya Firdaus, kwani hiyo ndiyo pepo iliyo juu zaidi na ni sehemu ya karibu na Arshi ya Allah."
(Sahih Bukhari)
 
Wee naue

Wee naye vita gani utavipiga? Vilio vya walio tekwa na kuuliwa ww ulitakiwa uwatetee lakin ulikaa kmya ,ivyo vita na Iman unayolinda labda ya ccm ila sio ya mbingun
BWANA YESU ONDOA HII KIMBAOMBAO
 
Back
Top Bottom