Spika Dkt. Tulia Ackson: Mimi naomba Mungu anicheleweshe kidogo

Akizungumza kwenye hafla ya Kuuaga mwili wa Dr Faustine Ndugulile, Mh Spika wa Bunge la Tanzania, huku akibubujikwa na Machozi, Amemuomba Mungu wake asimchukue mapema kama alivyomchukua Dr Faustine, ameomba aachwe japo kwa Muda.

Bado haijajulikana kama maombi yake hayo muhimu yamejibiwa au La .

Bali kikubwa kinachofahamika ni kwamba MUNGU si Athumani

Screenshot_2024-12-02-22-53-03-1.png

Toa Maoni yako
 
Mwambie katibu mkuu wizara ya fedha (hazina) alipe mapunjo ya mifuko ya jamii ambayo watumishi wa umma wanadai ili hali hazina haikuipeleka! Vinginevyo na wewe utakufa kwasababu ya dhuruma!
 
Ishallah wewe na wenzako atawaharakishie mkajiunge na cloner wenu Joni Jiwe Makufuri aliyekufuru akawahishwa.😀😀😀😀😀😀😀
 
Vip Kama mwenyezi mungu akitupilia mbali maombi yako afanye Kama unavotupuliaga wewe maombi ya wabunge bungeni?
 
Daaa!hiyo kauli cjui wafiwa wanajiskiaje!?af yaan haikuwa na sabab za yeye kusem hivo wakat anajua watu wengi wana/watakosoa mawazo yake mingi juu ya kinachoendelea saiv.Maana koments nyingi juu ya alichokisema zinaweza kumpa picha halisi kwamba watu wengi wanamuombea nini na inaweza mpa pressre bure kama kweli alkuwa seriouz.Au kuna ujumbe ameutuma kwa watu anaojua wanayawinda maisha yake.
 
JE
Akishiriki kuaga mwili wa aliyekua Mbunge wa Kigambonio na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Ukanda wa Afrika Dkt. Faustine Ndugulile, leo tarehe 02 Disemba, 2024, Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson amesema:

"Namuomba Mungu kwenye hii safari ambayo kila mmoja ataenda basi mimi anicheleweshe kidogo, kama neno linavyosema ili tukisema nimevipiga vita iwe nimevipiga kweli na Imani nimeilinda"

Soma, Pia: Dkt. Tulia: Dkt. Faustine Ndugulile ametuachia simanzi kubwa
JE MHESHIMIWA KAFANYA JEMA GANI?
 
Fanya Mema sio kuiba kura wakati una PHD. Msomi wa kweli hana sababu ya kuiba kura au kubebwa. Unapinga katiba ya wananchi kwa manufaa ya nani hasa hilo tumbo lako utaliacha Duniani. Fanyeni vitu kwa manufaa ya umma kama yule spika wa zamani atakumbukwa kwa lipi?
 
Tulia hata sura yake haifanani na elimu kubwa aliyo nayo! Kuna Kila dalili ni mgonjwa!
Hata umpakae mafuta ya aina Gani anaonanekana ni bibi .
 
Naona maisha ni matamu ndio maana anaomba aongezewe muda
 
Akishiriki kuaga mwili wa aliyekua Mbunge wa Kigambonio na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Ukanda wa Afrika Dkt. Faustine Ndugulile, leo tarehe 02 Disemba, 2024, Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson amesema:

"Namuomba Mungu kwenye hii safari ambayo kila mmoja ataenda basi mimi anicheleweshe kidogo, kama neno linavyosema ili tukisema nimevipiga vita iwe nimevipiga kweli na Imani nimeilinda"

Soma, Pia: Dkt. Tulia: Dkt. Faustine Ndugulile ametuachia simanzi kubwa
Mwambieni maombi yake yamekataliwa kama anavyotaka! Bali yatajibiwa kwa namna ambayo atajutia yale aliyofanya kwa ukubwa uleule
 
Huwa hana points kuongea hajui kuomgea na hadhira anaropoka tuuu
 
"Namuomba Mungu kwenye hii safari ambayo kila mmoja ataenda Basi mimi anicheleweshe kidogo, Kama neno linavyosema ili tukisema nimevipiga vita iwe nimevipiga kweli na Imani nimeilinda" - Tulia Ackson, Spika wa Bunge. #EastAfricaTV
 
Attachments

  • 20241203_120323.jpg
    20241203_120323.jpg
    226.8 KB · Views: 5
Akishiriki kuaga mwili wa aliyekua Mbunge wa Kigambonio na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Ukanda wa Afrika Dkt. Faustine Ndugulile, leo tarehe 02 Disemba, 2024, Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson amesema:

"Namuomba Mungu kwenye hii safari ambayo kila mmoja ataenda basi mimi anicheleweshe kidogo, kama neno linavyosema ili tukisema nimevipiga vita iwe nimevipiga kweli na Imani nimeilinda"

Soma, Pia: Dkt. Tulia: Dkt. Faustine Ndugulile ametuachia simanzi kubwa

Aanche udhalimu ili aongezewe muda.
 
Back
Top Bottom