Spika Dkt. Tulia Ackson: Mimi naomba Mungu anicheleweshe kidogo

Akishiriki kuaga mwili wa aliyekua Mbunge wa Kigambonio na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Ukanda wa Afrika Dkt. Faustine Ndugulile, leo tarehe 02 Disemba, 2024, Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson amesema:

"Namuomba Mungu kwenye hii safari ambayo kila mmoja ataenda basi mimi anicheleweshe kidogo, kama neno linavyosema ili tukisema nimevipiga vita iwe nimevipiga kweli na Imani nimeilinda"

Soma, Pia: Dkt. Tulia: Dkt. Faustine Ndugulile ametuachia simanzi kubwa

Betina bana.
 
Ukiwa mtenda mema, uko tayari saa na wakati muumba wako akipenda. Wenye makando kando ndio wanaomba muda wa kumalizia kudhulumu watu ili baadae waombe msamaha.
 
Akishiriki kuaga mwili wa aliyekua Mbunge wa Kigambonio na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Ukanda wa Afrika Dkt. Faustine Ndugulile, leo tarehe 02 Disemba, 2024, Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson amesema:

"Namuomba Mungu kwenye hii safari ambayo kila mmoja ataenda basi mimi anicheleweshe kidogo, kama neno linavyosema ili tukisema nimevipiga vita iwe nimevipiga kweli na Imani nimeilinda"

Soma, Pia: Dkt. Tulia: Dkt. Faustine Ndugulile ametuachia simanzi kubwa

Kwa ujinga anao fanya pale bungeni Mungu ana andaa file lake, soon tuta imba parapanda
 
Kwa sababu yeye ni mheshimiwa sana kwa mungu wake atasikilizwa.
 
Akishiriki kuaga mwili wa aliyekua Mbunge wa Kigambonio na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Ukanda wa Afrika Dkt. Faustine Ndugulile, leo tarehe 02 Disemba, 2024, Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson amesema:

"Namuomba Mungu kwenye hii safari ambayo kila mmoja ataenda basi mimi anicheleweshe kidogo, kama neno linavyosema ili tukisema nimevipiga vita iwe nimevipiga kweli na Imani nimeilinda"

Soma, Pia: Dkt. Tulia: Dkt. Faustine Ndugulile ametuachia simanzi kubwa

Huyu mama Mbinafsi sana
 
Uishi kufanya nn wakati so far badala ya kuwa shuruhisho ktk nchi umekuwa tatizo.
 
Amcheleweshe na wakati tunaambiwa mbinguni kuna raha? Hutaki kuwahi hiyo raha? Ila kuna kuimba tu bila kupumzika, ujiandae kwa hilo.
 
Akishiriki kuaga mwili wa aliyekua Mbunge wa Kigambonio na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Ukanda wa Afrika Dkt. Faustine Ndugulile, leo tarehe 02 Disemba, 2024, Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson amesema:

"Namuomba Mungu kwenye hii safari ambayo kila mmoja ataenda basi mimi anicheleweshe kidogo, kama neno linavyosema ili tukisema nimevipiga vita iwe nimevipiga kweli na Imani nimeilinda"

Soma, Pia: Dkt. Tulia: Dkt. Faustine Ndugulile ametuachia simanzi kubwa

Huyu ana roho mbaya sana akiwahishwa itapendeza zaidi.
 
Akizungumza kwenye hafla ya Kuuaga mwili wa Dr Faustine Ndugulile, Mh Spika wa Bunge la Tanzania, huku akibubujikwa na Machozi, Amemuomba Mungu wake asimchukue mapema kama alivyomchukua Dr Faustine, ameomba aachwe japo kwa Muda.

Bado haijajulikana kama maombi yake hayo muhimu yamejibiwa au La .

Bali kikubwa kinachofahamika ni kwamba MUNGU si Athumani

View attachment 3167645

Toa Maoni yako
Amcheleweshe yeye kama nani

Ova
 
Mwambieni atubu dhambi zake haraka, maana haijui siku wala sasa, akishatubu ajiuzuru uspika na kuwaomba Watanzania msamaha ikiwa pamoja na kurudisha Mali zote alizochuma kwa dhuluma kupitia kuwaibia na kuwadhulumu Watanzania
 
Back
Top Bottom