Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Laana ya wapinzani,hutoboi dada yangu."Namuomba Mungu kwenye hii safari ambayo kila mmoja ataenda Basi mimi anicheleweshe kidogo, Kama neno linavyosema ili tukisema nimevipiga vita iwe nimevipiga kweli na Imani nimeilinda"
Maisha wanayoyadhulumu kwa maamuzi, ufisadi na kutochukua hatua stahiki ni mlango wa kuharakisha safari."Namuomba Mungu kwenye hii safari ambayo kila mmoja ataenda Basi mimi anicheleweshe kidogo, Kama neno linavyosema ili tukisema nimevipiga vita iwe nimevipiga kweli na Imani nimeilinda"
DP world,laana yake haitakuacha! SalamaKuna harufu kanusa ehh!?
akucheleweshe uzidi ukatae kujadili kutekwa kwa watanzania/wanachadema.. Uwe chawa wa serikali, the executive badala ya kusimamia serikali?"Namuomba Mungu kwenye hii safari ambayo kila mmoja ataenda basi mimi anicheleweshe kidogo, kama neno linavyosema ili tukisema nimevipiga vita iwe nimevipiga kweli na Imani nimeilinda"
Kibao anatekwa, watu wanasema tujadili utekaji, unakataa! Unakaa kufanya nini?Laana ya wapinzani,hutoboi dada yangu.
Kula akiba uliyo nayo!
Ugali mtamu."Namuomba Mungu kwenye hii safari ambayo kila mmoja ataenda basi mimi anicheleweshe kidogo, kama neno linavyosema ili tukisema nimevipiga vita iwe nimevipiga kweli na Imani nimeilinda"
"Namuomba Mungu kwenye hii safari ambayo kila mmoja ataenda basi mimi anicheleweshe kidogo, kama neno linavyosema ili tukisema nimevipiga vita iwe nimevipiga kweli na Imani nimeilinda"
Kwa haya yote unayoyafanya na kuyasimamia ndiyo unasema unaipiga vita vizuri? Wewe sikuombei lolote, ila na Mungu ajidhihirisha kwako katika namna itakayowagusa na kuwafurahisha waja wake.Akishiriki kuaga mwili wa aliyekua Mbunge wa Kigambonio na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Ukanda wa Afrika Dkt. Faustine Ndugulile, leo tarehe 02 Disemba, 2024, Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson amesema:
"Namuomba Mungu kwenye hii safari ambayo kila mmoja ataenda basi mimi anicheleweshe kidogo, kama neno linavyosema ili tukisema nimevipiga vita iwe nimevipiga kweli na Imani nimeilinda"
Wanaondoana wenyewe Mungu amekaa pembeni anawaangaliaAkishiriki kuaga mwili wa aliyekua Mbunge wa Kigambonio na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Ukanda wa Afrika Dkt. Faustine Ndugulile, leo tarehe 02 Disemba, 2024, Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson amesema:
"Namuomba Mungu kwenye hii safari ambayo kila mmoja ataenda basi mimi anicheleweshe kidogo, kama neno linavyosema ili tukisema nimevipiga vita iwe nimevipiga kweli na Imani nimeilinda"
Wee naye vita gani utavipiga? Vilio vya walio tekwa na kuuliwa ww ulitakiwa uwatetee lakin ulikaa kmya ,ivyo vita na Iman unayolinda labda ya ccm ila sio ya mbingunAkishiriki kuaga mwili wa aliyekua Mbunge wa Kigambonio na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Ukanda wa Afrika Dkt. Faustine Ndugulile, leo tarehe 02 Disemba, 2024, Spika wa Bunge Dkt. Tulia Ackson amesema:
"Namuomba Mungu kwenye hii safari ambayo kila mmoja ataenda basi mimi anicheleweshe kidogo, kama neno linavyosema ili tukisema nimevipiga vita iwe nimevipiga kweli na Imani nimeilinda"
Soma, Pia: Dkt. Tulia: Dkt. Faustine Ndugulile ametuachia simanzi kubwa