Spika Dkt. Tulia Ackson: Mimi naomba Mungu anicheleweshe kidogo

Betina bana.
 
Ukiwa mtenda mema, uko tayari saa na wakati muumba wako akipenda. Wenye makando kando ndio wanaomba muda wa kumalizia kudhulumu watu ili baadae waombe msamaha.
 
Kwa ujinga anao fanya pale bungeni Mungu ana andaa file lake, soon tuta imba parapanda
 
Kwa sababu yeye ni mheshimiwa sana kwa mungu wake atasikilizwa.
 
Huyu mama Mbinafsi sana
 
Uishi kufanya nn wakati so far badala ya kuwa shuruhisho ktk nchi umekuwa tatizo.
 
Amcheleweshe na wakati tunaambiwa mbinguni kuna raha? Hutaki kuwahi hiyo raha? Ila kuna kuimba tu bila kupumzika, ujiandae kwa hilo.
 
Huyu ana roho mbaya sana akiwahishwa itapendeza zaidi.
 
Amcheleweshe yeye kama nani

Ova
 
Mwambieni atubu dhambi zake haraka, maana haijui siku wala sasa, akishatubu ajiuzuru uspika na kuwaomba Watanzania msamaha ikiwa pamoja na kurudisha Mali zote alizochuma kwa dhuluma kupitia kuwaibia na kuwadhulumu Watanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…