BetinaaSpika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson amesema ni muhimu wananchi na viongozi waelewe majukumu ya mihimili ya dola na kuheshimu mipaka yake, ili kulinda utawala wa sheria na demokrasia ya kweli.
Akizungumza leo Jumapili Juni 15, 2025 Ikulu jijini Dodoma katika hafla ya kumuapisha Jaji Mkuu mpya George Masaju, Dk Tulia amesema baadhi ya watu husherehekea maamuzi ya Mahakama kama ushindi wa bahati nasibu bila kuelewa msingi wa Katiba.
"Hata hapa juzi eh, Mahakama imetoa uamuzi ambao nimesikia watu mahali wanasherehekea kama wameshinda rotary (bahati nasibu). Nikashangaa sana nikasema hawa ni wanasheria kweli, wanaijua Katiba? Sababu Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatupa fursa kama Bunge kutunga sheria, inaiagiza Mahakama kutafsiri sheria. Sasa Mahakama ikishatafsiri, ni jukumu letu kama Bunge kuchukua hatua."
Kauli hiyo imekuja kufuatia uamuzi wa Mahakama ya Rufaa kubatilisha kifungu cha 4 cha Sheria ya Utekelezaji wa Haki za Msingi na Wajibu (Badea) ya 1994 kwa sababu kinakinzana na Katiba, na hivyo kuruhusu uwezekano wa viongozi kushtakiwa.
"Lazima wananchi wafike mahali waelewe kazi ya mihimili hii, na kumuweka Rais mahali anapostahili, kumtofautisha na Jaji Mkuu, Spika, lakini pia kuelewa Rais anavyofanya kazi kama Mkuu wa mhimili mkuu," amesema Dk Tulia.
Wanawake uwezo mdogo SANAASometime naelewa kwanini mataifa mengine haya wapi wanawake madaraka. Oneni sasa
Alitaka walieSpika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson amesema ni muhimu wananchi na viongozi waelewe majukumu ya mihimili ya dola na kuheshimu mipaka yake, ili kulinda utawala wa sheria na demokrasia ya kweli.
Akizungumza leo Jumapili Juni 15, 2025 Ikulu jijini Dodoma katika hafla ya kumuapisha Jaji Mkuu mpya George Masaju, Dk Tulia amesema baadhi ya watu husherehekea maamuzi ya Mahakama kama ushindi wa bahati nasibu bila kuelewa msingi wa Katiba.
"Hata hapa juzi eh, Mahakama imetoa uamuzi ambao nimesikia watu mahali wanasherehekea kama wameshinda rotary (bahati nasibu). Nikashangaa sana nikasema hawa ni wanasheria kweli, wanaijua Katiba? Sababu Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatupa fursa kama Bunge kutunga sheria, inaiagiza Mahakama kutafsiri sheria. Sasa Mahakama ikishatafsiri, ni jukumu letu kama Bunge kuchukua hatua."
Kauli hiyo imekuja kufuatia uamuzi wa Mahakama ya Rufaa kubatilisha kifungu cha 4 cha Sheria ya Utekelezaji wa Haki za Msingi na Wajibu (Badea) ya 1994 kwa sababu kinakinzana na Katiba, na hivyo kuruhusu uwezekano wa viongozi kushtakiwa.
"Lazima wananchi wafike mahali waelewe kazi ya mihimili hii, na kumuweka Rais mahali anapostahili, kumtofautisha na Jaji Mkuu, Spika, lakini pia kuelewa Rais anavyofanya kazi kama Mkuu wa mhimili mkuu," amesema Dk Tulia.
Mkuu Tate Mkuu yakija mambo tofauti na UTOPOLO, upo vizuri sana!Halafu eti Pascal Mayalla anajisifu kabisa hadharani kufundishwa sheria na mwalimu wake Tulia! Ingekuwa ndiyo mimi, hata hivyo vyeti vya somo la mwalimu aina yake, ningevichoma moto. [emoji91]
Ila ningefundishwa na mtu kama Profesa Issa Shivji, hakika ningesimama hadharani na kujisifu.
Anaye jua lugha za makahaba wa manzese anitafsirie tafadhari?Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson amesema ni muhimu wananchi na viongozi waelewe majukumu ya mihimili ya dola na kuheshimu mipaka yake, ili kulinda utawala wa sheria na demokrasia ya kweli.
Akizungumza leo Jumapili Juni 15, 2025 Ikulu jijini Dodoma katika hafla ya kumuapisha Jaji Mkuu mpya George Masaju, Dk Tulia amesema baadhi ya watu husherehekea maamuzi ya Mahakama kama ushindi wa bahati nasibu bila kuelewa msingi wa Katiba.
"Hata hapa juzi eh, Mahakama imetoa uamuzi ambao nimesikia watu mahali wanasherehekea kama wameshinda rotary (bahati nasibu). Nikashangaa sana nikasema hawa ni wanasheria kweli, wanaijua Katiba? Sababu Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatupa fursa kama Bunge kutunga sheria, inaiagiza Mahakama kutafsiri sheria. Sasa Mahakama ikishatafsiri, ni jukumu letu kama Bunge kuchukua hatua."
Kauli hiyo imekuja kufuatia uamuzi wa Mahakama ya Rufaa kubatilisha kifungu cha 4 cha Sheria ya Utekelezaji wa Haki za Msingi na Wajibu (Badea) ya 1994 kwa sababu kinakinzana na Katiba, na hivyo kuruhusu uwezekano wa viongozi kushtakiwa.
"Lazima wananchi wafike mahali waelewe kazi ya mihimili hii, na kumuweka Rais mahali anapostahili, kumtofautisha na Jaji Mkuu, Spika, lakini pia kuelewa Rais anavyofanya kazi kama Mkuu wa mhimili mkuu," amesema Dk Tulia.
Tazama hapa Video hii, unaweza jiuliza ilikuaje Dunia ikamchagua kua Rais wa Mabunge ya Dunia?.
Ukipata Cheo Kwa Kujipendekeza na Fitina Kwa Mtangulizi wako ni shida sana !!.
Kwa Maneno ya huyu Spika, Kupitia Bunge lake ni ama anaenda kutotekeleza HUKUMA YA MAHAKAMA , au Kutunga Sheria nyingine mpya ambayo Lengo lake Kuu ni KUMFANYA RAIS ASISHITAKIWE !!.
Hivi Tulia Akson ni wa kumdhihaki Gwiji wa Sheria PROF SHIVJ??? Tulia huyu ambaye mara zote kadhihirisha level ya Incompetence ya Sheria alonayo ? Ama Hakika Mwenye Hila, fitina na Kujipendekeza Huwa na wakati mgumu sana
Tulia yuko kwenye Point ambayo hata kama ni NYEUSI anaionaz yeye atasema ni NYEUPE !!
View: https://youtu.be/4PBqZmADPgU?si=Do6q2vzAG2-KLv2s
Huyu chawa Tulia ni bure kabisaaaSpika Dkt. Tulia ashangazwa na wanaosherehekea uamuzi wa Mahakama viongozi kushtakiwa
Ukombozi wa upumbavu wako we lofa? Malofa km ww yanakufaga na stress. Nchi yetu ilishakombolewa?Huyu Jiwe alimuokota wapi Mungu wangu! Tunahitaji ukombozi , si wa maneno ni actions
Shida inaanzia hapa kwenye "Mhimili Mkuu".Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson amesema ni muhimu wananchi na viongozi waelewe majukumu ya mihimili ya dola na kuheshimu mipaka yake, ili kulinda utawala wa sheria na demokrasia ya kweli.
Akizungumza leo Jumapili Juni 15, 2025 Ikulu jijini Dodoma katika hafla ya kumuapisha Jaji Mkuu mpya George Masaju, Dk Tulia amesema baadhi ya watu husherehekea maamuzi ya Mahakama kama ushindi wa bahati nasibu bila kuelewa msingi wa Katiba.
"Hata hapa juzi eh, Mahakama imetoa uamuzi ambao nimesikia watu mahali wanasherehekea kama wameshinda rotary (bahati nasibu). Nikashangaa sana nikasema hawa ni wanasheria kweli, wanaijua Katiba? Sababu Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatupa fursa kama Bunge kutunga sheria, inaiagiza Mahakama kutafsiri sheria. Sasa Mahakama ikishatafsiri, ni jukumu letu kama Bunge kuchukua hatua."
Kauli hiyo imekuja kufuatia uamuzi wa Mahakama ya Rufaa kubatilisha kifungu cha 4 cha Sheria ya Utekelezaji wa Haki za Msingi na Wajibu (Badea) ya 1994 kwa sababu kinakinzana na Katiba, na hivyo kuruhusu uwezekano wa viongozi kushtakiwa.
"Lazima wananchi wafike mahali waelewe kazi ya mihimili hii, na kumuweka Rais mahali anapostahili, kumtofautisha na Jaji Mkuu, Spika, lakini pia kuelewa Rais anavyofanya kazi kama Mkuu wa mhimili mkuu," amesema Dk Tulia.
ngoja tukipeleke iran kwanzaHicho kimama shingo kama kuku, ndio kinatuaribia nchi. Kila kitu kwake ni uchawa tu.