Mrao keryo
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 2,301
- 3,042
Noma sana
Kumbe ni mwalimu wa paskali? Basi nimepata jibu, nilikua najiuliza huyu paskali mbona kama hazimo, kumbe kafundishwa na jangili wa sheriaHalafu eti Pascal Mayalla anajisifu kabisa hadharani kufundishwa sheria na mwalimu wake Tulia! Ingekuwa ndiyo mimi, hata hivyo vyeti vya somo la mwalimu aina yake, ningevichoma moto. 🔥
Ila ningefundishwa na mtu kama Profesa Issa Shivji, hakika ningesimama hadharani na kujisifu.
Jiwe? Unajisahaulisha mkuu!Huyu Jiwe alimuokota wapi Mungu wangu! Tunahitaji ukombozi , si wa maneno ni actions
aliletwa na jiwe kutoka ofisi ya wanasheriaJiwe? Unajisahaulisha mkuu!
Lazima wananchi wafike mahali waelewe kazi ya mihimili hii, na kumuweka Rais mahali anapostahili, kumtofautisha na Jaji Mkuu, Spika, lakini pia kuelewa Rais anavyofanya kazi kama Mkuu wa mhimili mkuu," amesema Dk Tulia.
Tazama hapa Video hii, unaweza jiuliza ilikuaje Dunia ikamchagua kua Rais wa Mabunge ya Dunia?.
Ukipata Cheo Kwa Kujipendekeza na Fitina Kwa Mtangulizi wako ni shida sana !!.
Kwa Maneno ya huyu Spika, Kupitia Bunge lake ni ama anaenda kutotekeleza HUKUMA YA MAHAKAMA , au Kutunga Sheria nyingine mpya ambayo Lengo lake Kuu ni KUMFANYA RAIS ASISHITAKIWE !!.
Hivi Tulia Akson ni wa kumdhihaki Gwiji wa Sheria PROF SHIVJ??? Tulia huyu ambaye mara zote kadhihirisha level ya Incompetence ya Sheria alonayo ? Ama Hakika Mwenye Hila, fitina na Kujipendekeza Huwa na wakati mgumu sana
Tulia yuko kwenye Point ambayo hata kama ni NYEUSI anaionaz yeye atasema ni NYEUPE !!
View: https://youtu.be/4PBqZmADPgU?si=Do6q2vzAG2-KLv2s
1994 alikuwa primaryIlikuwaje ukaruhusu Bunge likapitisha Sheria inayokinzana na KATIBA??..wakati u Mwanasheria Nguli kabisa..
Ingependeza kama ungeanza kwa kutuomba RADHI,..shida hiyo AKILI ya kuomba radhi huna..EGO!
Angejilipua tu nchi itulie...maana huu ukweli kma ni kweli ukiwekwa uchi...nchi itatulia kimoja....
Naitamani hii siku nifanye shereheHuyo Tulia ni baadhi ya wasomi wa sheria hapa nchini waliotumia elimu yao kutunga sheria kandamizi kwa wananchi, na kulinda watawala. Ni muumini wa siasa za mabavu. Namna pekee ya kuwafanya watu wa aina hii wajutie maamuzi yao, ni kubadili utawala, kisha sheria hizo hizo zitumike kumuumiza.
Huenda alipewa huo u Spika kama uteuzi ndiyo sababu anaona hao waliompa huo uteuzi ni mihimili Mkuu...Hii precedence inahitaji kuvunjwa haraka sana kwakua Tunatengeneza taifa ambalo ni la kifalme badala ya RepublicHuyu kichwa hakiko sawa, ana changamoto ya afya ya akili bila shaka.
Kuna kitufe cha kumtolea report hapo pembeni kushoto, aripotiwe tu huyo.Utashangaa mnasema wanaotukana ati ni Chadema, ona huyu pimbi Mataga
Hili ni tatizo kubwa Kwa wanawake wengi wa nchini kwetu...Wanabebwa na mfumo badala ya wao wenyewe kupanda Kwa credentials, so wanakuwa na mawazo ya kuendelea kuwaabudu wanaowabeba, so sad...Hizi affirmative measures ziangaliwe Kwa upya zitakuja kusababisha mambo makubwa ya kuliangamiza taifaHuyu kweli ni mwanasheria aliwai kushinda kesi gani kipindi akiwa wakili tofauti na ha Tulia amebebwa na mfumo hana uwezo wowote kisheria theesics yake Iliyompa PhD yake amepalish wapi? Tofauti na hapo kalewa madaraka wananchi sio wote ni wajinga tunaitaji Katiba inayoeleza wazi kwamba kiongiozi mwizi wa mali za Umma atanyongwa ieleze wazi