Spika Dkt. Tulia ashangazwa na wanaosherehekea uamuzi wa Mahakama viongozi kushtakiwa

Betinaa
 
Hata kifo ni kifo tu, kipo sio bahati nasibu ila kuna watu fulani wakifa utasikia watu fulani wakishangilia🤔
 
Alitaka walie
 
Mkuu Tate Mkuu yakija mambo tofauti na UTOPOLO, upo vizuri sana!
 
Anaye jua lugha za makahaba wa manzese anitafsirie tafadhari?
 
Kumbe Kuna mhimili mkuu na mhimili mdogo.Hapa ndipo nimeelewa Kwa Nini mkuu wa mhimili jobu ndugai alifukuzwa na samia
 
Unapokua mtu wa serikali unakua kiserikali serikali!!huwi mtu wa professionalism!!

Unaambiwa andaa hivyo hivyo Hela hazijatoka!unaandaa TU hata kama zime expire we andaa tu!!

Una andaa kweli!!
 
Ana kiburi, wakenya wanasema "KICHWA NGUMU". Usiwaone watu wana viburi, lazima kuna nguvu nyingine inatenda kazi nyuma yao. Mara nyingi si nguvu ya Mungu hata kidogo. Mungu anachukia majivuno ya aina hii.
 
How in hell kama nchi tumefika hapa?

Huyu ni phd holder?

Elimu ya hii nchi ipitiwe upya kuna tatizo mahali
 
Shida inaanzia hapa kwenye "Mhimili Mkuu".
Wanasheria wetu tujuzeni Je katiba imebainisha uwepo wa Mhimili Mkuu?
 
Kama watanzania mnatakiwa kupata viongozi wenye asili ya utanzania tena wawe na uchungu na Tanzania ,hawa wasomi wenu ni pandikizi la wazungu hawana uzalendo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…