Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 15,670
- 14,647
Nahitaji ufafanuzi kwa wataalamu wa sheria je kazi ya bunge ni kutunga sheria ama kuzipitishaSpika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson amesema ni muhimu wananchi na viongozi waelewe majukumu ya mihimili ya dola na kuheshimu mipaka yake, ili kulinda utawala wa sheria na demokrasia ya kweli.
Akizungumza leo Jumapili Juni 15, 2025 Ikulu jijini Dodoma katika hafla ya kumuapisha Jaji Mkuu mpya George Masaju, Dk Tulia amesema baadhi ya watu husherehekea maamuzi ya Mahakama kama ushindi wa bahati nasibu bila kuelewa msingi wa Katiba.
"Hata hapa juzi eh, Mahakama imetoa uamuzi ambao nimesikia watu mahali wanasherehekea kama wameshinda rotary (bahati nasibu). Nikashangaa sana nikasema hawa ni wanasheria kweli, wanaijua Katiba? Sababu Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatupa fursa kama Bunge kutunga sheria, inaiagiza Mahakama kutafsiri sheria. Sasa Mahakama ikishatafsiri, ni jukumu letu kama Bunge kuchukua hatua."
Kauli hiyo imekuja kufuatia uamuzi wa Mahakama ya Rufaa kubatilisha kifungu cha 4 cha Sheria ya Utekelezaji wa Haki za Msingi na Wajibu (Badea) ya 1994 kwa sababu kinakinzana na Katiba, na hivyo kuruhusu uwezekano wa viongozi kushtakiwa.
"Lazima wananchi wafike mahali waelewe kazi ya mihimili hii, na kumuweka Rais mahali anapostahili, kumtofautisha na Jaji Mkuu, Spika, lakini pia kuelewa Rais anavyofanya kazi kama Mkuu wa mhimili mkuu," amesema Dk Tulia.
Tengeneza hoja badala ya kukashifu utu wa mtu kwakuwa mmetofautiana mitazamo.Halafu eti Pascal Mayalla anajisifu kabisa hadharani kufundishwa sheria na mwalimu wake Tulia! Ingekuwa ndiyo mimi, hata hivyo vyeti vya somo la mwalimu aina yake, ningevichoma moto. 🔥
Ila ningefundishwa na mtu kama Profesa Issa Shivji, hakika ningesimama hadharani na kujisifu.
Tulia ni moja ya viongozi wa ovyo kabisa ambao taifa hili limewahi kuwapata.Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson amesema ni muhimu wananchi na viongozi waelewe majukumu ya mihimili ya dola na kuheshimu mipaka yake, ili kulinda utawala wa sheria na demokrasia ya kweli.
Akizungumza leo Jumapili Juni 15, 2025 Ikulu jijini Dodoma katika hafla ya kumuapisha Jaji Mkuu mpya George Masaju, Dk Tulia amesema baadhi ya watu husherehekea maamuzi ya Mahakama kama ushindi wa bahati nasibu bila kuelewa msingi wa Katiba.
"Hata hapa juzi eh, Mahakama imetoa uamuzi ambao nimesikia watu mahali wanasherehekea kama wameshinda rotary (bahati nasibu). Nikashangaa sana nikasema hawa ni wanasheria kweli, wanaijua Katiba? Sababu Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatupa fursa kama Bunge kutunga sheria, inaiagiza Mahakama kutafsiri sheria. Sasa Mahakama ikishatafsiri, ni jukumu letu kama Bunge kuchukua hatua."
Kauli hiyo imekuja kufuatia uamuzi wa Mahakama ya Rufaa kubatilisha kifungu cha 4 cha Sheria ya Utekelezaji wa Haki za Msingi na Wajibu (Badea) ya 1994 kwa sababu kinakinzana na Katiba, na hivyo kuruhusu uwezekano wa viongozi kushtakiwa.
"Lazima wananchi wafike mahali waelewe kazi ya mihimili hii, na kumuweka Rais mahali anapostahili, kumtofautisha na Jaji Mkuu, Spika, lakini pia kuelewa Rais anavyofanya kazi kama Mkuu wa mhimili mkuu," amesema Dk Tulia.
Utashangaa mnasema wanaotukana ati ni Chadema, ona huyu pimbi MatagaMpuuzi mamako we mbwa koko, Rais wa nchi yetu ni mkuu wa nchi cheo ambacho ni sawa na mfalme wa Uingereza. Ht hivyo wapumbavu km nyie hatutegemei mkaelewa.
Maskini nchi yangu!Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson amesema ni muhimu wananchi na viongozi waelewe majukumu ya mihimili ya dola na kuheshimu mipaka yake, ili kulinda utawala wa sheria na demokrasia ya kweli.
Akizungumza leo Jumapili Juni 15, 2025 Ikulu jijini Dodoma katika hafla ya kumuapisha Jaji Mkuu mpya George Masaju, Dk Tulia amesema baadhi ya watu husherehekea maamuzi ya Mahakama kama ushindi wa bahati nasibu bila kuelewa msingi wa Katiba.
"Hata hapa juzi eh, Mahakama imetoa uamuzi ambao nimesikia watu mahali wanasherehekea kama wameshinda rotary (bahati nasibu). Nikashangaa sana nikasema hawa ni wanasheria kweli, wanaijua Katiba? Sababu Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatupa fursa kama Bunge kutunga sheria, inaiagiza Mahakama kutafsiri sheria. Sasa Mahakama ikishatafsiri, ni jukumu letu kama Bunge kuchukua hatua."
Kauli hiyo imekuja kufuatia uamuzi wa Mahakama ya Rufaa kubatilisha kifungu cha 4 cha Sheria ya Utekelezaji wa Haki za Msingi na Wajibu (Badea) ya 1994 kwa sababu kinakinzana na Katiba, na hivyo kuruhusu uwezekano wa viongozi kushtakiwa.
"Lazima wananchi wafike mahali waelewe kazi ya mihimili hii, na kumuweka Rais mahali anapostahili, kumtofautisha na Jaji Mkuu, Spika, lakini pia kuelewa Rais anavyofanya kazi kama Mkuu wa mhimili mkuu," amesema Dk Tulia.
Kule Marekani mambo kama haya ya kuwapa nafasi kufuata diversity ulikuwa ni mzuri lakini walikua wanatokea watu kama Tulia wamewaharibia hata wenzao. Tulia kapanda kufika ngazi hiyo kwa sababu ya diversity na kupendeleana, sasa kawa limbukeni, anajiona Mungu. Angalia hata uso Kama kinyagoHuyu Jiwe alimuokota wapi Mungu wangu! Tunahitaji ukombozi , si wa maneno ni actions
Bunge linatunga sheria kandamizi kisha mahakama inainyifoa hiyo sheria, sasa kwanini tusisherehekee! Tulia hebu tulia uelewe kinacho sherehekewa, hapa haturuki majeneza.Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson amesema ni muhimu wananchi na viongozi waelewe majukumu ya mihimili ya dola na kuheshimu mipaka yake, ili kulinda utawala wa sheria na demokrasia ya kweli.
Akizungumza leo Jumapili Juni 15, 2025 Ikulu jijini Dodoma katika hafla ya kumuapisha Jaji Mkuu mpya George Masaju, Dk Tulia amesema baadhi ya watu husherehekea maamuzi ya Mahakama kama ushindi wa bahati nasibu bila kuelewa msingi wa Katiba.
"Hata hapa juzi eh, Mahakama imetoa uamuzi ambao nimesikia watu mahali wanasherehekea kama wameshinda rotary (bahati nasibu). Nikashangaa sana nikasema hawa ni wanasheria kweli, wanaijua Katiba? Sababu Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatupa fursa kama Bunge kutunga sheria, inaiagiza Mahakama kutafsiri sheria. Sasa Mahakama ikishatafsiri, ni jukumu letu kama Bunge kuchukua hatua."
Kauli hiyo imekuja kufuatia uamuzi wa Mahakama ya Rufaa kubatilisha kifungu cha 4 cha Sheria ya Utekelezaji wa Haki za Msingi na Wajibu (Badea) ya 1994 kwa sababu kinakinzana na Katiba, na hivyo kuruhusu uwezekano wa viongozi kushtakiwa.
"Lazima wananchi wafike mahali waelewe kazi ya mihimili hii, na kumuweka Rais mahali anapostahili, kumtofautisha na Jaji Mkuu, Spika, lakini pia kuelewa Rais anavyofanya kazi kama Mkuu wa mhimili mkuu," amesema Dk Tulia.
Wapi nimekashifu utu wa mtu kwenye maelezo yangu!Tengeneza hoja badala ya kukashifu utu wa mtu kwakuwa mmetofautiana mitazamo.
"Mhimili Mkuu" daah huyu dada hii tafsiri kaitoa wapi? Kwahiyo mihili hiyo ya Bunge na Mahakama ni mihimili midogo? Wonders shall never end, ndiyo huyu ataisimamia serikali kweli?Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson amesema ni muhimu wananchi na viongozi waelewe majukumu ya mihimili ya dola na kuheshimu mipaka yake, ili kulinda utawala wa sheria na demokrasia ya kweli.
Akizungumza leo Jumapili Juni 15, 2025 Ikulu jijini Dodoma katika hafla ya kumuapisha Jaji Mkuu mpya George Masaju, Dk Tulia amesema baadhi ya watu husherehekea maamuzi ya Mahakama kama ushindi wa bahati nasibu bila kuelewa msingi wa Katiba.
"Hata hapa juzi eh, Mahakama imetoa uamuzi ambao nimesikia watu mahali wanasherehekea kama wameshinda rotary (bahati nasibu). Nikashangaa sana nikasema hawa ni wanasheria kweli, wanaijua Katiba? Sababu Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatupa fursa kama Bunge kutunga sheria, inaiagiza Mahakama kutafsiri sheria. Sasa Mahakama ikishatafsiri, ni jukumu letu kama Bunge kuchukua hatua."
Kauli hiyo imekuja kufuatia uamuzi wa Mahakama ya Rufaa kubatilisha kifungu cha 4 cha Sheria ya Utekelezaji wa Haki za Msingi na Wajibu (Badea) ya 1994 kwa sababu kinakinzana na Katiba, na hivyo kuruhusu uwezekano wa viongozi kushtakiwa.
"Lazima wananchi wafike mahali waelewe kazi ya mihimili hii, na kumuweka Rais mahali anapostahili, kumtofautisha na Jaji Mkuu, Spika, lakini pia kuelewa Rais anavyofanya kazi kama Mkuu wa mhimili mkuu," amesema Dk Tulia.
Huyo Tulia ni baadhi ya wasomi wa sheria hapa nchini waliotumia elimu yao kutunga sheria kandamizi kwa wananchi, na kulinda watawala. Ni muumini wa siasa za mabavu. Namna pekee ya kuwafanya watu wa aina hii wajutie maamuzi yao, ni kubadili utawala, kisha sheria hizo hizo zitumike kumuumiza.Mungu atupe ujasiri lakini huyu mtu ana Ego ya namna gani? Ni haya haya madaraka au kuna kingine? Aambiwe walikuwepo kina Farao, na falme kubwa zenye nguvu nakuamua kila kitu leo hii wako wapi? Atambue yeye yupo hapo alipo kwakua kuna wengine walishapita nakuondoka hivyo uongozi ni swala la muda hawezi kua na hiyo nguvu anayodhani yupo nayo na kujiona anajua kila kitu milele.Mungu tunakukabidhi hili utashughika nao
Mambo ya Walawi 26:19
[19]Nami nitakivunja kiburi cha uwezo wenu; nami nitazifanya mbingu zenu kuwa kama chuma, na nchi yenu kuwa kama shaba;
Kinatumia pesa na vyeo. Kina bwana hapo EWURA ndio maana hakuna hoja ya EWURA itakayojadiliwa bungeni.I wonder mwanaume anayemlomba!!!
Anataka kutuaminisha kwamba yeye na Jaji Mkuu wanasimamia mihimili midogo! Ibara gani ya Katiba inasema hivyo?Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson amesema ni muhimu wananchi na viongozi waelewe majukumu ya mihimili ya dola na kuheshimu mipaka yake, ili kulinda utawala wa sheria na demokrasia ya kweli.
Akizungumza leo Jumapili Juni 15, 2025 Ikulu jijini Dodoma katika hafla ya kumuapisha Jaji Mkuu mpya George Masaju, Dk Tulia amesema baadhi ya watu husherehekea maamuzi ya Mahakama kama ushindi wa bahati nasibu bila kuelewa msingi wa Katiba.
"Hata hapa juzi eh, Mahakama imetoa uamuzi ambao nimesikia watu mahali wanasherehekea kama wameshinda rotary (bahati nasibu). Nikashangaa sana nikasema hawa ni wanasheria kweli, wanaijua Katiba? Sababu Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inatupa fursa kama Bunge kutunga sheria, inaiagiza Mahakama kutafsiri sheria. Sasa Mahakama ikishatafsiri, ni jukumu letu kama Bunge kuchukua hatua."
Kauli hiyo imekuja kufuatia uamuzi wa Mahakama ya Rufaa kubatilisha kifungu cha 4 cha Sheria ya Utekelezaji wa Haki za Msingi na Wajibu (Badea) ya 1994 kwa sababu kinakinzana na Katiba, na hivyo kuruhusu uwezekano wa viongozi kushtakiwa.
"Lazima wananchi wafike mahali waelewe kazi ya mihimili hii, na kumuweka Rais mahali anapostahili, kumtofautisha na Jaji Mkuu, Spika, lakini pia kuelewa Rais anavyofanya kazi kama Mkuu wa mhimili mkuu," amesema Dk Tulia.
wait wait...huyu mayala si kamzidi tulia umri kwa miaka karibu 15?Halafu eti Pascal Mayalla anajisifu kabisa hadharani kufundishwa sheria na mwalimu wake Tulia! Ingekuwa ndiyo mimi, hata hivyo vyeti vya somo la mwalimu aina yake, ningevichoma moto. 🔥
Ila ningefundishwa na mtu kama Profesa Issa Shivji, hakika ningesimama hadharani na kujisifu.
Huyu Mwanasheria wa kiwango cha PhD, hata watoto wadogo wa shule za msingi na sekondari watamshangaa! Kwa sababu huko wanafundishwa kuhusu uwepo wa mihimili 3 kwenye Katiba, na ambapo kila mhimili unasimamia na kutimiza majukumu yake kwa uhuru na pasipo kuingiliwa na mhimili mwingine.Anataka kutuaminisha kwamba yeye na Jaji Mkuu wanasimamia mihimili midogo! Ibara gani ya Katiba inasema hivyo?
Mpumbavu sana huyu. Uchawa ndio uliomfikisha hapo alipo!
Bahati nasibu ni Lottery sio rotarySpika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Tulia Ackson amesema ni muhimu wananchi na viongozi waelewe majukumu ya mihimili ya dola na kuheshimu mipaka yake, ili kulinda utawala wa sheria na demokrasia ya kweli.