Spika Dkt. Tulia ashangazwa na wanaosherehekea uamuzi wa Mahakama viongozi kushtakiwa

Kumbe ni mwalimu wa paskali? Basi nimepata jibu, nilikua najiuliza huyu paskali mbona kama hazimo, kumbe kafundishwa na jangili wa sheria
 
Kwamba ni LAZIMA

Ni lazima wananchi tuelewe, tutake tusitake ni lazima tuelewe.😎

Au Dokta maadam spika alimaanisha nini?

Kulazimisha mawazo na hisia zetu lazima ziendane na anavyohisi au kuwaza yeye.

Sasa tunatoka kwenye tawala za mwili tunalazimisha hadi fikra. Duuh

Lazima wananchi wafike mahali waelewe kazi ya mihimili hii, na kumuweka Rais mahali anapostahili, kumtofautisha na Jaji Mkuu, Spika, lakini pia kuelewa Rais anavyofanya kazi kama Mkuu wa mhimili mkuu," amesema Dk Tulia.
 
kwani anaijua katiba ya nchi?
Angekua anazijua sheria angewakumbatia Covid 19, watuondolee usanii
wale kwa kutulia
 
Hapo anamshangaa Prof Shivji bila shaka!
 
Yaani Spika mpuuzi kabisa, hiyo nafasi sijui ya Rais wa mabunge haina impact yoyote, saivi Irani na Israel zinapigana hawezi kusema kitu
 
Ilikuwaje ukaruhusu Bunge likapitisha Sheria inayokinzana na KATIBA??..wakati u Mwanasheria Nguli kabisa..

Ingependeza kama ungeanza kwa kutuomba RADHI,..shida hiyo AKILI ya kuomba radhi huna..EGO!
1994 alikuwa primary
 
Huyu sijui kwa nini anajionaga ana akili sana....halafu sisi tunamuona wa hovyooo....yaan anataka kuhalalisha sheria zinazokinzana na katiba...kwamba hii nchi ni ya baba yake au mama yake...hovyo sana huyu
 
Naitamani hii siku nifanye sherehe
 
Huyu kweli ni mwanasheria aliwai kushinda kesi gani kipindi akiwa wakili tofauti na ha Tulia amebebwa na mfumo hana uwezo wowote kisheria theesics yake Iliyompa PhD yake amepalish wapi? Tofauti na hapo kalewa madaraka wananchi sio wote ni wajinga tunaitaji Katiba inayoeleza wazi kwamba kiongiozi mwizi wa mali za Umma atanyongwa ieleze wazi
 
Huyu kichwa hakiko sawa, ana changamoto ya afya ya akili bila shaka.
Huenda alipewa huo u Spika kama uteuzi ndiyo sababu anaona hao waliompa huo uteuzi ni mihimili Mkuu...Hii precedence inahitaji kuvunjwa haraka sana kwakua Tunatengeneza taifa ambalo ni la kifalme badala ya Republic
 
Hili ni tatizo kubwa Kwa wanawake wengi wa nchini kwetu...Wanabebwa na mfumo badala ya wao wenyewe kupanda Kwa credentials, so wanakuwa na mawazo ya kuendelea kuwaabudu wanaowabeba, so sad...Hizi affirmative measures ziangaliwe Kwa upya zitakuja kusababisha mambo makubwa ya kuliangamiza taifa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…