Spika Job Ndugai, amejiuzulu Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Spika Job Ndugai, amejiuzulu Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ndugai yupo sahihi kujiuzulu maana hakuomba msamaha bali alikana kosa japo kwa upande mwingine yupo sahihi.
 
Mzee wa Galilaya kaachia chombo😅😅😅
IMG-20220106-WA0016.jpg
 
Sasa akibaki mbunge ataweza kuwa anauliza maswali au atapiga kimya tu.
Sasa akiuliza hayo maswali si watamgeuzia kibao kwa maana kama ni mikataba ilipitishwa kipindi yeye mwenyewe akiwa spika! [emoji2377][emoji2377][emoji2377]
 
Back
Top Bottom