tamuuuuu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2014
- 21,329
- 28,063
Things fall apart
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Things fall apart
Ujumbe wa Ndugai utaishi nao hadi 2025Hili haliachi alama nzuri kwa Taifa letu! Hata Ndugai awe amekosea kiasi gani lakini ipo mbegu mbaya sana imepandwa ambayo toka uhuru haijawahi kutokea!
Tuna safari ndefu sana na kutokubaliana na Ndugai kwenye mengi hakufanyi nipuuze namna alivyoshughulikiwa pamoja na nafasi yake.
Wewe kweli kilaza wakati UVCCM na wabunge wa CCM ndo wameshupalia hili swala kumlinda mwenyekiti wao ebooShinikizo la kutaka Spika ajiuzulu ktk nafasi yake limeshikiwa bango zaidi na wafuasi wa Mbowe/Chadema.
Niwazi kabisa Spika alikuwa mwiba mkali sana kwa ktk kusimamia sheria na kanuni za mbunge na haswa kwa wapinzani ambao walitaka kuleta mchezo.
Sasa leo hii hatuwezi kushangaa kuona genge la Mbowe likishangilia na kupiga mayowe eti Spika ajiuzulu.
Kamwe wana CCM Makini wasikubali kuingia ktk mtego huuu.
Inatosha na Inatosha sana kwa kitendo cha kiungwana alicho kifanya Spika cha kuomba radhi.
Kamwe tusikubali kuendelea kumdhalalisha Spika wetu aliye fanya kazi kwa umahiri mkubwa na kuisaidia nchi yetu.
Ni vyema wana CCM wakawa makini ktk kipindi hiki cha upepo mbaya, wapaswa kuwa watulivu na nidhamu ya hali ya juu.
Mungu Ibariki Tanzania.
Kazi iendeleee kama kawaida.
Sisi team magu atumtaki huyo zuzu alikuwa anazuia wasema kweli hadi mambo yalipo mkuta yeye tusiyo yajua ndiyo anajidai kumkosoa mamaSisi Team Magu Tumepokea taarifa hii kwa masikitiko makubwa
Hivi kuna mbegu mbaya iliyopandwa nchi hii kama utawala wa magufuli? Muwe mnatumia vichwa vyenu vizuriHili haliachi alama nzuri kwa Taifa letu! Hata Ndugai awe amekosea kiasi gani lakini ipo mbegu mbaya sana imepandwa ambayo toka uhuru haijawahi kutokea!
Tuna safari ndefu sana na kutokubaliana na Ndugai kwenye mengi hakufanyi nipuuze namna alivyoshughulikiwa pamoja na nafasi yake.
Kajiuzulu na waale COVID 19 bungeni au kawaacha nyuma?
Wale hawafukuzwi nakuambia serikali ya CCM inawatumia kupata mikopo yao.Kimeumanaaaaaaa,,sasa wale covid 19 ,,wajiandae...maana baba yao ndo huyo anaelekea galilaya wilaya ya kapernaumu .
Itakuwa wameCut na KuPaste Sign Yake na wameituma Kwa Lazima.Mode, mimi ni Tomaso, this letter doesn't look real! is this bonafide genuine?. Headed paper gani hii haina address?.
Hiyo barua ya kujiuzulu ikowapi?.
please do the needful.
P
... ni taarifa kwamba ameandika barua ya kujiuzulu!Hakuna tarehe, ref number, hata address?
Elimu yetu imeanguka hivi?
Ukiwa umevurugwa huwezi kukumbuka ethics za kuandika barua mkuu.Hakuna tarehe, ref number, hata address?
Elimu yetu imeanguka hivi?
Mzigo ni wenyewe mkuu.Mode, mimi ni Tomaso, this letter doesn't look real! is this bonafide genuine?. Headed paper gani hii haina address?.
Hiyo barua ya kujiuzulu ikowapi?.
please do the needful.
P
Sasa akibaki mbunge ataweza kuwa anauliza maswali au atapiga kimya tu.Inakuwaje wanajamvi!
Nikiwakilisha vijana wote wa JF kutoka Arusha na kanda ya kaskazini kwa jumla. Tunatoa amri Job Ndugai ajiuzulu mara moja nyadhifa zake zote za uspika na ubunge.
Kaliletea taifa aibu na kuidharau serikali ya mama Samia ya awamu ya 6. Pia msamaha alioomba haukuturidhisha ulikuwa wa kinafiki.
Ajiuzulu mara moja bila kupoteza muda ili angalau ailinde heshima yake ndogo iliyosalia.
Salaam ziwafikie chawa wote wa Lumumba itwege na makhhaa'c wenzake maisha ubadilika na leo kwenye mkeka huu wameingia kizani manina.Be the first to reply