Bado Kassim Na Genge Lake Kuhusu Rais Wa MpitoKASSIM
Anakenua TuKama namwona Prof Assad
Wanajisahulisha hao wanafki tu...Wakati wa JPM chuki zilikua juu balaa.Hivi kuna mbegu mbaya iliyopandwa nchi kama utawala wa magufuli? Muwe mnatumia vichwa vyenu vizuri
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
.... Kiongozi, hiyo ni taarifa kwa umma kwamba kaandika barua ya kujiuzulu! Taarifa kwa umma kuandikwa kwa caps sidhani kama ni issue sana.Mbona kaiandika kwa herufi kubwa!?
Kama hana ujumbe wowote nini kimefanya hangaya apanic namna ile?Hana ujumbe wowote huyo alimpinga magufuli kabla hata mwili wakke haujaoza mnafiki mkubwa.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Ilikuwa lazma ajiuzulu maana Tiss wakikuandama unaweza ukaishi maisha ya kiboya punde si pundeDah! Anaweka Historia ya Kuwa Spika wa Kwanza Kujiuzulu Tanzania.
Mzee wa Galilaya kaachia chombo😅😅😅
On his way to CHADEMA.Chali
Ref: BashiruSasa akibaki mbunge ataweza kuwa anauliza maswali au atapiga kimya tu.
Ndugu,Haiongezi wala haipunguzi mchuzi wa watoto wako
Haa Siyo HarakaOn his way to CHADEMA.
Ndugai for presidency 2025 watu weweeeeeee
Alianza babu yao aka Jiwe, sasa baba yao naye bye byeKimeumanaaaaaaa,,sasa wale covid 19 ,,wajiandae...maana baba yao ndo huyo anaelekea galilaya wilaya ya kapernaumu .
Sasa akiuliza hayo maswali si watamgeuzia kibao kwa maana kama ni mikataba ilipitishwa kipindi yeye mwenyewe akiwa spika! [emoji2377][emoji2377][emoji2377]Sasa akibaki mbunge ataweza kuwa anauliza maswali au atapiga kimya tu.