Spika Job Ndugai, amejiuzulu Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Absolutely! Alikosea sana kuomba radhi, hapo nilimshangaa sana. Ila kitendo cha kujiuzulu kwangu ni kitendo cha kishujaa kabisa. Ni watanzania wangapi wakipishana mawazo na watawala wanachukua maamuzi magumu kama haya ya Ndugai na Lowasa?
Kwani amajiuzuru kwa hiari yake au kwanguvu za chama, hata hiyo taarifa uenda nayeye anaisoma tu humu humu, unacheza na state......lazma first citizen ambaye ni raisi alindwe kwa mbinu zote
 
Nipo na dada tulia hapa tunafanya tafrija fupi maana njia n nyeupe

Tumeusotea Sana huu uspika sema magu alikuwa kikwazo

Sasa mihimil itakuwa hivi

Wazir mkuu mwanamke

SPika mwanamke

Prof Juma anastaafu mwaka huu

Sent from my TECNO F1 using JamiiForums mobile app
 
Naona kama vile Job ameonewa tu.
Bunge ni muhimili unaojitegemea. Pia Kazi ya Bunge ni kutunga sheria, kukosoa na kuisimamia Serekali. Hivyo Job kuikosoa Serekali ilikuwa haki yake ya Kikatiba.
Wale wote walioko mjengoni hakuna anayejua haki zake kikatiba ndio maana pesa nyingi utumika ili kuingia pale.
 
What goes around comes around..... licha ya yote jamaa anaendwa na hisiakuliko akili...
 
Ashajiuzulu sasa. Kaandamane sasa
 
Siyo ulevi wa madaraka tu. Yule alikuwa tungi. Yaani alikuwa nyagi. Kwa akili za kawaida hawezi fanya aliyoyafanya. Bila kujali uzito wa hoja yake.
 
Kwani amajiuzuru kwa hiari yake au kwanguvu za chama, hata hiyo taarifa uenda nayeye anaisoma tu unacheza na state......lazma first citizen ambaye ni raisi alindwe kwa mbinu zote
Kwamba ameshinikizwa au hapana mimi sijui mkuu, Ila kujiuzulu ni ishara ya ukomavu, popote pale.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…