Spika Job Ndugai, amejiuzulu Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Spika Job Ndugai, amejiuzulu Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wanabodi, kwa kitendo alicho kifanya Job Ndugai , ukweli ni kwamba alichelewa kuandika hiyo barua ya kujiuzulu.
Kilicho Baki sasa ni kwa Rais kusafisha vimelea vyote ili afanye kazi kwa kwa Uhuru.
Lazima wakubali kuwa Rais wa JMT ni Mama SAMIA SULUHU HASSAN.
 
As if he has been forced.

Maandishi makubwa, karatasi ya kisheria, nembo ya bunge,

This mas hayuko serious kwa lolote.

Ila mwache alikuwa na kauli za dharau sana.

How about that beaten man, sasa hii anafanya sherehe.

How about those 19 ladies.

Ngoja tuone
Hakika Mungu daima yupo kazini na machozi ya mnyonge daima upokelewa na Mungu.

Kitendo alicho mfanyia mh Lissu na mh Mbowe ni ukatili wa kiwango cha sgr.
 
Sio muda tunafika page 100 thread inakimbia balaa😀😀😀😀
 
Mifumo ya kipumbavu,kiunyanyasaji pamoja na mifumo ya kukanyaga haki ambayo MaCCM wameitengeneza katika nchi hii imeanza kuwatafuna wao wenyewe.

Walikumbatia upumbavu wa kukataa mihimili kuwa huru na sasa dhambi hiyo inawatafuna wao wenyewe.

Speaker ambae ni mhimili huru kujiuzulu kwa kuikosoa serikali ni utahira wa kiwango cha lami.He is hopeless fool.
 
Shinikizo la kutaka Spika ajiuzulu ktk nafasi yake limeshikiwa bango zaidi na wafuasi wa Mbowe/Chadema.

Niwazi kabisa Spika alikuwa mwiba mkali sana kwa ktk kusimamia sheria na kanuni za mbunge na haswa kwa wapinzani ambao walitaka kuleta mchezo.

Sasa leo hii hatuwezi kushangaa kuona genge la Mbowe likishangilia na kupiga mayowe eti Spika ajiuzulu.

Kamwe wana CCM Makini wasikubali kuingia ktk mtego huuu.

Inatosha na Inatosha sana kwa kitendo cha kiungwana alicho kifanya Spika cha kuomba radhi.

Kamwe tusikubali kuendelea kumdhalalisha Spika wetu aliye fanya kazi kwa umahiri mkubwa na kuisaidia nchi yetu.

Ni vyema wana CCM wakawa makini ktk kipindi hiki cha upepo mbaya, wapaswa kuwa watulivu na nidhamu ya hali ya juu.
Mungu Ibariki Tanzania.
Kazi iendeleee kama kawaida.
Mbowe na CHADEMA wanatoka wapi tena huko kwa Katibu Mkuu wa CCM
umemalizieti Kazi iendelee kwa huyu jamaa hafai nenda kachunge naye Jimboni kwake mpaka upepo utulie la sivyo mtatutibua zaidi nyie Sukuma Gang
 
Shinikizo la kutaka Spika ajiuzulu ktk nafasi yake limeshikiwa bango zaidi na wafuasi wa Mbowe/Chadema.

Niwazi kabisa Spika alikuwa mwiba mkali sana kwa ktk kusimamia sheria na kanuni za mbunge na haswa kwa wapinzani ambao walitaka kuleta mchezo.

Sasa leo hii hatuwezi kushangaa kuona genge la Mbowe likishangilia na kupiga mayowe eti Spika ajiuzulu.

Kamwe wana CCM Makini wasikubali kuingia ktk mtego huuu.

Inatosha na Inatosha sana kwa kitendo cha kiungwana alicho kifanya Spika cha kuomba radhi.

Kamwe tusikubali kuendelea kumdhalalisha Spika wetu aliye fanya kazi kwa umahiri mkubwa na kuisaidia nchi yetu.

Ni vyema wana CCM wakawa makini ktk kipindi hiki cha upepo mbaya, wapaswa kuwa watulivu na nidhamu ya hali ya juu.
Mungu Ibariki Tanzania.
Kazi iendeleee kama kawaida.
Sukuma Gang mmevurugwa,nyie simlisema ndugai ana nguvu kuliko Taasisi kuu, wapuuzi nyie
 
Back
Top Bottom