Spika kamuandikia barua katibu wa bunge ambaye ni bosi wake na hata wakati wa kumuapisha katibu alimwapisha so Job kafata protocali... hatujaletewa barua humu; kilicholetwa humu ni taarifa kwa umma kwamba Ndugai kaandika barua ya kujiuzulu. Kuhusu kujiuzulu mbele ya Bunge, kama ndivyo sheria inavyosema, hatua ya kwanza ni kuandika barua then "ikikubaliwa" mengine yanafuata ikiwemo kujiuzulu mbele ya Bunge.
kwa sasa COVID19 wana muharoKimeumanaaaaaaa,,sasa wale covid 19 ,,wajiandae...maana baba yao ndo huyo anaelekea galilaya wilaya ya kapernaumu .
Acheni uzwazwa nyie mnaopinga kwa hamuoni taarifa huko kwenye vyanzo vya kuaminika..?Sio kweli!
Kuanzia Sasa na msamehe Bure, kesi yangu Mimi na yeye imekwisha.Kwisha habari yake! ubabe,kiburi na dharau hayo ndio malipo kutoka juu.
Jamaa hafai na kuanzia sasa nafikiri atajifunza kitu mara baada ya watanzania kuonyesha hisia zake juu yake.alikuwa na roho mbaya sana
kumbuka alivyokuwa anamuandama Mbowe
Hoja gani zaidi ya uzushi tu. Hoja ya kweli angewapanga wabunge waje na hoja ya madeni akisha wangeunda maazimio ya Bunge juu ya mikopo. Hapo angeonekana wa maana. Alichofanya ni ukorofi tu ambao wagogo wenzie hatuna.... pamoja na hoja muhimu iliyopelekea kujiuzulu kwake historia yake mbaya inazidi uzito wa hoja yake. Aondoke tu; ni kati ya maspika wa hovyo kabisa kuwahi kuwepo.
Huyu naye hana lolote.Lema[emoji119]View attachment 2070875
Hao ndiyo chawa wake na kundi lake la sukuma gangAcheni uzwazwa nyie mnaopinga kwa hamuoni taarifa huko kwenye vyanzo vya kuaminika..?