Spika Job Ndugai, amejiuzulu Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Spika Job Ndugai, amejiuzulu Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

... hatujaletewa barua humu; kilicholetwa humu ni taarifa kwa umma kwamba Ndugai kaandika barua ya kujiuzulu. Kuhusu kujiuzulu mbele ya Bunge, kama ndivyo sheria inavyosema, hatua ya kwanza ni kuandika barua then "ikikubaliwa" mengine yanafuata ikiwemo kujiuzulu mbele ya Bunge.
Spika kamuandikia barua katibu wa bunge ambaye ni bosi wake na hata wakati wa kumuapisha katibu alimwapisha so Job kafata protocali
 
Naona kwa msisitizo zaidi kaamua kuandika kwa herufi kubwa.
 
... pamoja na hoja muhimu iliyopelekea kujiuzulu kwake historia yake mbaya inazidi uzito wa hoja yake. Aondoke tu; ni kati ya maspika wa hovyo kabisa kuwahi kuwepo.
Hoja gani zaidi ya uzushi tu. Hoja ya kweli angewapanga wabunge waje na hoja ya madeni akisha wangeunda maazimio ya Bunge juu ya mikopo. Hapo angeonekana wa maana. Alichofanya ni ukorofi tu ambao wagogo wenzie hatuna.
 
lCN.jpg
 
Maisha hata!! Ndugai nusra msafara wake unigonge Dodoma Area C mwaka fln
 
Ayubu anaandika Kwa herufi kubwa looh!
Hata mimi leo nilimdoubt kidogo Roving Journalist
Tulikuwa na kipaza sauti cha ajabu!

Jiwe aendelee Tu kupumzika

Everyday is Saturday.........................................😎
 
As if he has been forced.

Maandishi makubwa, karatasi ya kisheria, nembo ya bunge,

This mas hayuko serious kwa lolote.

Ila mwache alikuwa na kauli za dharau sana.

How about that beaten man, sasa hii anafanya sherehe.

How about those 19 ladies.

Ngoja tuone
 
Back
Top Bottom