Hakika Mungu daima yupo kazini na machozi ya mnyonge daima upokelewa na Mungu.As if he has been forced.
Maandishi makubwa, karatasi ya kisheria, nembo ya bunge,
This mas hayuko serious kwa lolote.
Ila mwache alikuwa na kauli za dharau sana.
How about that beaten man, sasa hii anafanya sherehe.
How about those 19 ladies.
Ngoja tuone
Simlisema ndugai ana nguvu kuliko Taasisi kuu,Nyumbu wanaruka na kukanyagana
Angekomaa tu bwana ajifanye kama hasikii kitu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa wewe ungefanyaje ndugu ukizingatia ile pressure kubwa kutoka kila sehemu na wew uko peke yako.
AMENLema[emoji119]View attachment 2070875
Awali zilikua tetesi, mods wameunganisha nyuzi. Kuwa mpole.Acheni uzwazwa nyie mnaopinga kwa hamuoni taarifa huko kwenye vyanzo vya kuaminika..?
Itawabidi wakusanyike nyumbani kwake kibaigwa wawe wake wenza wa yule DEDSasa wale wabunge 19 nini itakuwa hatima yao, mtetezi wao kajiuzuru au ndio imeandikwa usimtegemee mwana damu?
Mbowe na CHADEMA wanatoka wapi tena huko kwa Katibu Mkuu wa CCMShinikizo la kutaka Spika ajiuzulu ktk nafasi yake limeshikiwa bango zaidi na wafuasi wa Mbowe/Chadema.
Niwazi kabisa Spika alikuwa mwiba mkali sana kwa ktk kusimamia sheria na kanuni za mbunge na haswa kwa wapinzani ambao walitaka kuleta mchezo.
Sasa leo hii hatuwezi kushangaa kuona genge la Mbowe likishangilia na kupiga mayowe eti Spika ajiuzulu.
Kamwe wana CCM Makini wasikubali kuingia ktk mtego huuu.
Inatosha na Inatosha sana kwa kitendo cha kiungwana alicho kifanya Spika cha kuomba radhi.
Kamwe tusikubali kuendelea kumdhalalisha Spika wetu aliye fanya kazi kwa umahiri mkubwa na kuisaidia nchi yetu.
Ni vyema wana CCM wakawa makini ktk kipindi hiki cha upepo mbaya, wapaswa kuwa watulivu na nidhamu ya hali ya juu.
Mungu Ibariki Tanzania.
Kazi iendeleee kama kawaida.
[emoji23]Alivyokuwa anaupenda huo Uspika..Atakuwa ametaitika vilivyo...Hana jinsi...Muoga huyu mzee [emoji23]
Tatizo hapo ni wale jamaa wenye miwani myeusi tiiiiAngekomaa tu bwana ajifanye kama hasikii kitu
Usipende kuendeshwa kwa hisia.
Mkuu nchi zote RAIS ana mamlaka makubwa, hakuna chini Rais akawa hana madaraka makubwa. Itakuwa haina maana ya yeye kuwa RAIS.... supremacy of the presidency! Tukiambiwa Katiba iliyopo inampa Rais mamlaka ya ki-mungu huwa tunachukulia mizaha au kujitoa ufahamu kichama!
Sukuma Gang mmevurugwa,nyie simlisema ndugai ana nguvu kuliko Taasisi kuu, wapuuzi nyieShinikizo la kutaka Spika ajiuzulu ktk nafasi yake limeshikiwa bango zaidi na wafuasi wa Mbowe/Chadema.