Spika Job Ndugai, amejiuzulu Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Spika Job Ndugai, amejiuzulu Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

kajiuzulu.jpeg
 
SPIKA wa bunge la jamhuri ya muungano wa Tanzania Job Ndugai ameandika BARUA YA kuachua ngazi.

Screenshot_20220106-165251.jpg
 
Inakuwaje wanajamvi!

Nikiwakilisha vijana wote wa JF kutoka Arusha na kanda ya kaskazini kwa jumla. Tunatoa amri Job Ndugai ajiuzulu mara moja nyadhifa zake zote za uspika na ubunge.

Kaliletea taifa aibu na kuidharau serikali ya mama Samia ya awamu ya 6. Pia msamaha alioomba haukuturidhisha ulikuwa wa kinafiki.

Ajiuzulu mara moja bila kupoteza muda ili angalau ailinde heshima yake ndogo iliyosalia.
 
Back
Top Bottom