Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Alichomfanyia mh Lissu ni jambo ambalo litaendelea kumtesa sana maishani mwake.Alikuwa anadhani upinzani ni jambo rahisi, amekuwa mpinzani ndani ya wiki tu na uspika ameukosa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alichomfanyia mh Lissu ni jambo ambalo litaendelea kumtesa sana maishani mwake.Alikuwa anadhani upinzani ni jambo rahisi, amekuwa mpinzani ndani ya wiki tu na uspika ameukosa.
Haiongezi wala haipunguzi mchuzi wa watoto wakoNafurahi sana kwani huyu mtu alikuwa ni roho mbaya na kiburi na jeuri sana
@NguseroInakuwaje wanajamvi!
Nikiwakilisha vijana wote wa JF kutoka Arusha na kanda ya kaskazini kwa jumla. Tunatoa amri Job Ndugai ajiuzulu mara moja nyadhifa zake zote za uspika na ubunge.
Kaliletea taifa aibu na kuidharau serikali ya mama Samia ya awamu ya 6. Pia msamaha alioomba haukuturidhisha ulikuwa wa kinafiki.
Ajiuzulu mara moja bila kupoteza muda ili angalau ailinde heshima yake ndogo iliyosalia.
Pia ni spika wa kwanza kumnyang'anya mbunge wake hadhi ya ubunge na kumnyima haki zakeHaiongezi wala haipunguzi mchuzi wa watoto wako
Na Mungu azidi kumlaani kwani amewanyanyasa sana wapinzani pale mjengoni
Ni ya ukweli mkuuHii fake.
Original ikoje!Hii fake.
Tunasubiri na covid 19 aliowabeba nao watoke mapema bungeniAlichomfanyia mh Lissu ni jambo ambalo litaendelea kumtesa sana maishani mwake.
Covid inamnyemeleaHaiongezi wala haipunguzi mchuzi wa watoto wako