Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Hana sifa ya kugombea hata uongozi wa nyumba 10Breakingi Nyuzi: UKAWA wamchagua Ndugai kugombea urais 2025.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hana sifa ya kugombea hata uongozi wa nyumba 10Breakingi Nyuzi: UKAWA wamchagua Ndugai kugombea urais 2025.
Hii isije kuwa ya wahuni
Alikuwa anahonga na kugonga 10000 USD vibinti vya UDOMKarma is the bitch. Dhambi ya kumnyanyasa Lisu haitamuacha. Hata akijiuzulu bado mabalaa yatamwandama
Ndugai mwisho wake umekua wa ghafla sana halaf hata mwenyew haamini😂😂 KARMA ni kitu nyingine kabisa daah,sa ndo ningekua mimi ndo Job ningekimbia nchi kama Lema au Lissu😀😀Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo leo Januari 06, 2022 ikiwa ni siku chache tangu kusambaa kwa video ambayo alinukuliwa akisema ipo siku Nchi itauzwa kutokana na madeni
Amesema ameandika Barua ya kujizulu kwa Katibu Mkuu wa CCM na uamuzi huo ni binafsi na hiari, na ameuchukua kwa kuzingatia maslahi mapana ya Nchi, Serikali na Chama
#JamiiForums
View attachment 2070821
Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo leo Januari 06, 2022 ikiwa ni siku chache tangu kusambaa kwa video ambayo alinukuliwa akisema ipo siku Nchi itauzwa kutokana na madeni
Amesema ameandika Barua ya kujizulu kwa Katibu Mkuu wa CCM na uamuzi huo ni binafsi na hiari, na ameuchukua kwa kuzingatia maslahi mapana ya Nchi, Serikali na Chama
#JamiiForums
View attachment 2070821
Kumbe huyu mgogo muoga namna hii.Hana balls kabisa. Inakuwaje mkuu wa muhimili mwingine akufanye ujiuzulu ?Tayari mkuu.
Mleta uzi huwa analeta taarifa za uhakika
Yaliyonenwa Na ManabiiYametimia!
Hii ni Taarifa na sio Barua.Hakuna tarehe, ref number, hata address?
Elimu yetu imeanguka hivi?
Yani steringi anafia kwenye maua kifara namna hii!?Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo leo Januari 06, 2022 ikiwa ni siku chache tangu kusambaa kwa video ambayo alinukuliwa akisema ipo siku Nchi itauzwa kutokana na madeni
Amesema ameandika Barua ya kujizulu kwa Katibu Mkuu wa CCM na uamuzi huo ni binafsi na hiari, na ameuchukua kwa kuzingatia maslahi mapana ya Nchi, Serikali na Chama
#JamiiForums
View attachment 2070821
Upo Wapi Mkuuinaonekana feki kabisa hii
Best ulipoteaga wapi?Sasa kama ni kweli aondoke na wale wabunge wake 19.
Maneno ya kujifariji hayo!!kwani yeye alipokuwa anawatendea wenzake unyama alikuwa anapata niniHaiongezi wala haipunguzi mchuzi wa watoto wako