Spika Job Ndugai, amejiuzulu Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Ndugai asingejiuzulu kama mwenyekiti wa ccm angekuwa mwingine na Rais wa Tanzania angekuwa mwimgine

Ccm sasa ndio muone ukubwa na.nguvu ya mwemyekiti wenu ambaye ni rais

Hamuwezi hata kupumua.hutakiwa mkosoa wala kumpinga wazi wazi hata kama hamkubaliai

Democracy iko hapo sasa

Ccm mpambane saaa hizo kofia zitenganishwe

Matokeo kams haya hupelekea watu kama akina kigwangala wawe waumini wa TUMBO-CRACY and

UGALI- nomics[emoji1787][emoji2]
 
Wenyewe wazee wa fursa, wanaangalia Rais anataka nini, siku Samia akijitokeza akasema hawataki COVID utauona moto wataopelekewa!
Yaani wanaishi maisha ya wale ndege kwerea kwerea
 
Rais mama, spika mtarajiwa mama, waziri wa ulinzi mama, IGP mtarajiwa mama, CDF mtarajiwa mama, waziri wa madini mtarajiwa mama, mkuu wa mkoa wa morogoro mtarajiwa mama, Gavana wa BOT mtarajiwa mama, sasa wamama mkae mkao wa Kula bata
 
Mfungo wa massa 72 Toka kwa mchungaji Gwajima hatimae Mungu amesikia Sala na maombi yake.

Amaleki ndio hivyo Tena. Kaondoka mwenyewe. Keeli Mungu hujibu maombi.
 
hivi wewe hujui ccm ndio kila kitu? kuna katiba nchi hii? mkiambiwa tunataka katiba mpya mnabambkia kesi za ugaidi, wacha waparulane wenyewe kwa wenyewe, Majaliwa kaa mguu sawa
 
Sasa ni zamu ya Mr. Mafweza yule mnec aliyewezesha na kuratibu uchafuzi mkuu &co.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…