Pole kwa msiba mpinzani wangu, ni maisha tu. Take it easyUsipanic kama alivyopanic Hangaya!
.
Niambie ni kwa vipi Ndugai alimvunjia Rais heshima?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole kwa msiba mpinzani wangu, ni maisha tu. Take it easyUsipanic kama alivyopanic Hangaya!
.
Niambie ni kwa vipi Ndugai alimvunjia Rais heshima?
Hili jina lako mkuu 🤣🤣Hii fake.
Ijengee frame kabisa.Picha niliyoipata mimi ni kuwa Rais hakosolewi na mtu au mamlaka yoyote ile...
Yaani wanaishi maisha ya wale ndege kwerea kwereaWenyewe wazee wa fursa, wanaangalia Rais anataka nini, siku Samia akijitokeza akasema hawataki COVID utauona moto wataopelekewa!
Hapo wabunge wapate fundisho. Sheria zao wanazo pitisha kwa kuhongwa lunch hayo ndiyo madhara yake.Habar jf
Kwa mujibu wa Katiba yetu kazi kubwa ya bunge ni kuisimamia serikali, iweje leo spika kujipendekeza kwa serikali??
Swala la Dugai kujiuzulu kisa kamkosea mkuu wa serikali ni udhaifu mkubwa wa Bunge
Yule Chair wenu hatabiriki, anaweza akambeba na still mkaja kumsifia humuHana sifa ya kugombea hata uongozi wa nyumba 10
hivi wewe hujui ccm ndio kila kitu? kuna katiba nchi hii? mkiambiwa tunataka katiba mpya mnabambkia kesi za ugaidi, wacha waparulane wenyewe kwa wenyewe, Majaliwa kaa mguu sawaKosa la ndugai liko wapi kwa mjibu wa sheria? Je, ndugai kavunja katiba katika kutoa maoni yake...!
Kosa la ndugai, linapaswa liwe la kichama na si kama anavyosakamwa aachie ngazi!
Kwa katiba ipi na sheria ipi inayodai sipika akitoa maoni yake kuhusu jambo la kiserikali atawajibika/wajibishwa?
Chama ndicho chaweza kumwajibisha ikiwa ziko taratibu za aina hiyo ila si kwa kumvua madaraka ya usipika!
Ngoja litokee hili, Tutajiona mapanzi mbele ya dunia kwa jinsi itavyoonyesha katiba yetu isivyiheshimiwa na kujitoshereza!
Sasa nimeelewa kwamba, Tz katiba yetu ni mbovu kuliko chochote!
Kwa nchi zenye watu wenye kupima ukweli wa jambo kupitia katiba walizonazo, Kusingeeleweka ikiwa sipika anashinikizwa kuachia ngazi kwa jambo ambalo halipo kikatiba
Mh Sipika ni mkuu wa mhimili unaojitegemea, lkn pia ni RAIA wa Tz mwenye Uhuru wa kutoa maoni yake katika jambo lolote lile huku akizingatia sheria za nchi
Niko na Ndugai na hana kosa kisheria na kikatiba
Na ndio kwanzaa umeanza.Huu mwaka ni bora uishe tuu!!
Sasa ni zamu ya Mr. Mafweza yule mnec aliyewezesha na kuratibu uchafuzi mkuu &co.Kama haikuyumba alipokufa Magu basi hilo unalotamani halitokuja kutokea kamwe! Wewe na huyo mwenzio muelewe Sasa Kwa nini wanajiita chama Dola, na hakuna wa kuiyumbisha Dola! Baba yako kaomba msamaha na kujiuzulu juu, anasubiriwa mwingine alete chokochoko
Nyie kondoo lazima mtawanyike hakuna namnaSasa Sisi wa covid 19 pale bungen itakuwaje?
Thubutu!! Ubunge hawezi kujivua hata kwa ndumbaKila la heri Ndugai , zipo taarifa kwamba kesho unajivua ubunge , je ni kweli ?
Nchi zote iko hivyo, hakuna nchi RAIS ASIWE ALPHA NA OMEGA.... nchi hii Rais ni alfa na omega?