Spika Job Ndugai, amejiuzulu Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Kimeumanaaaaaaa,,sasa wale covid 19 ,,wajiandae...maana baba yao ndo huyo anaelekea galilaya wilaya ya kapernaumu .
Hivi mdingi atakuwa anaingia bungeni na kuwa mzee wa ndiooooooooo au ndio anaenda kwa shemeji yake kapernaumu a.k.a kongwa?
 
Sasa aliomba radhi ya nini yule mgogo?
 
Sukuma gang mnapigwa matukio mfululizo. Unajua bado nini?
Sukuma gang ni imagination tu!

Ila nashangaa sana mnashangilia ujinga ambapo sasa bunge hili litakuwa kibogoyo mazima
 
 

Attachments

  • IMG_1487.MP4
    7.3 MB
Hawana uwezo huo!..

Hawa hawa wanaoshangilia bunge kukanyagwa kanyagwa?
 
Kwa tabia ya wana ccm lazima watawakali kooni hao covid hadi watolewe bungeni
Ndio matatizo ya kumtegemea SPONSOR, anapokufa ndio utajua kumbe ulikuwa huju!!kwani juzi tu mjumbe mmoja wa ccm alihoji juu ya hao covid 19, kuwa wapo bungeni kutokana na kiburi cha spika.
 
Yaani
Kakubali vipi kurudisha mpira kwa kipa kirahisi hivi yaani kaniangusha sana maneno uyaogope kweli
Hakuwa na uwezo wa kuongoza muhimili mkubwa kiasi hicho.
Ingawa alisifiwa sana hapa Jf kwa ile kauli yake kuhusu madeni, lakini kitendo chake cha kuomba msamaha haraka haraka, inaonyesha maneno hayo yalimtoka kinywani.
Hakupanga.
Na hicho ndicho kilichotumiwa na mabingwa wa siasa kumfagia.
Nadhani alishauriwa, ajiuzulu uspika ili aokoe ubunge wake au afukuzwe kwenye chama ili akose vyote.
 
Hivi katika hili sakata kuna mahala zitto kwabwe kaccoment hata mara moja?
Zitto anasubiri uteuzi ikulu, na maskini ya Mungu hajui system imemkataa.

Ilikuwa apewe nafasi Ikulu lakini wenyewe wamekataa ila Rais alishakubali.

Subilini baada ya mkeka wa mama ndio mtazijuww rangi halisi za Zitto.

Mpaka dakika hii bado anaamini jina lake litakuwepo kwenye post ikulu kumbe hajui system imemkataa haaminiki.
 
Watoto wamefunga shule wanajua spika ni Ndugai

Wakifungua shule wakute spika mwingine
 
Duh!!! ndo nimeingia huku sasaivi tuu. Yani uzi ni wa leo ila umetembezwa kwelikweli.

sasa ngoja nitulie, nipitie comments. Sihami TZ.
 
Wadau Wakati SPIKA Anaomba Msamaha kwa RAIS SAMIA alisema ile CLIP ilitengenezwa
Nina wasiwasi KESHO Huenda Akawaita Waandishi wa Habari KUIKATAA hii Barua ya KUJIUZULU kuwa nayo IMETENGENEZWA
tusiamini kama Kajiuzulu mpaka Siku 7 zipite Mzee ni KIGEUGEU SANA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…