Spika Job Ndugai, amejiuzulu Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Acha uongo ndugu hakuna real man anaeomba msamaha huku hajafanya kosa
 
Sasa akikutana na huyo mungu wenu magumashi akimuuliza ulimfanya nini Lisu atajibu nini?

Mabata kabisa nyinyi.
 
Sifurahii kujiuzulu kwake kutokana na maoni yake kuhusu mikopo, nafurahi kujiuzulu kwake kwa sababu alihakikisha bunge linakuwa la chama kimoja, na aliongoza bunge vibaya.
Nadhani hiyo ndio sababu ya furaha yeti wengi.
Mimi hata ningesikia tu amefikwa. Na haki yoyote ambayo hawezi tena kuwa Spika mimi ningeshukuru kwa Mungu.
Huyu Bwana alikua mfuasi mtiifu wa yule Muovu.
 
Sasa unashangaa nini? Hujui fomu Huwa wanachukua kwanza Kwa katibu wao, baadaye wanapigiwa kura huko huko kwenye chama na anayeshinda ndiye anapelekwa bungeni kushindana na wagombea wa vyama vingine/binafsi?
Katiba ya nchi inasema hivyo kwa spika anayetaka kujiuzulu
 
Mama hapa alileta mipasho(taarabu), bwana ndugai kaona mie wa ndombolo ya solo za kina khadija kopa siziwezi



“Huwezi kufikiria mtu mliyemuamini, mshika mhimili, aende akasimame aseme yale. Ni stress ya 2025. Inashangaza kuona mtu mwenye uelewa, anasema kuna fedha ya tozo lakini kaenda kukopa, ya nini? Au kwa nini tunaendelea kutoa tozo wakati fedha ya mkopo ipo. Mawaziri tupeni hizo takwimu sasa hivi.

"Mtu na akili yake anasimama na anahoji kuhusu mikopo na tozo, sio lolote ni homa ya 2025, kwa mtu ambaye nilimtegemea kushirikiana naye kwenye maendeleo, sikutegemea kama angesimama na kusema maneno hayo. Huwezi kufikiria mtu mliyemuamini, mshika mhimili, aende akasimame aseme yale. Ni stress ya 2025", amesema Rais Samia.
 
Maneno uumba

“Sitaki jumba bovu liniangukie mimi”

Uliikuta nzima hiyo mama, haya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…