Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Kumuondoa Ndugai badala ya kuondoa mfumo haitaleta Bunge huru.Atakaekuja uzi utakuwa kama uleule wa Ndugai kwa sababu tatizo halikuwa Ndugai bali ni mfumo.Naona ulifurahishwa sana na ukatili aliyofanyiwa Tundu Lisu na huyu mbwa wenu.
Magufuri alikuwa akikopa kwa siri huku wenye akili tukijua na Ndugai akijua na akimsifu kinafki. Ndugai ikipendeza aonyeshwe documents Magufuri alikopa kiasi gani tena aseme wazi mbele ya umma. Watu walizibwa midomo leo anaongea mjinga sanaBarua hiyoView attachment 2070763
Tena alikopa toka kwa mabeberu usiku mchana anawanangaMagufuri alikuwa akikopa kwa siri huku wenye akili tukijua na Ndugai akijua na akimsifu kinafki. Ndugai ikipendeza aonyeshwe documents Magufuri alikopa kiasi gani tena aseme wazi mbele ya umma. Watu walizibwa midomo leo anaongea mjinga sana
Pamoja na kuwa kalazimishwa lakini pia ameonyesha uthubutu,kuna watu wanafiki sana leo nimemuona Gwajiboy na akisifia mapambio na hata sasa kaonyeshwa runinga ya serikali Zanzibar, toka lini Gwajiboy akaonekana wa maana huko Zenj hadi kuonyeshwa na TVZ ?Hawezi jiuzulu. Huu upepo utapita na ataendelea kuwa speaker hadi 2025.
Kassim Hana RahaNasubiri kwa hamu kufumuliwa na kuundwa upya Baraza la Mawaziri
Umeamua kujitoa ufahamu na kumuacha Wakili Msomi Dr Tulia (LLD)Simbachawene anchukua kiti kiulaiiini! Mark this post
Hapa ndo chadema naonaga wanafeli sana, saizi tunayasema haya kama utani lakini tutakuja kushangaa siku ambayo wanamtambulishaBreakingi Nyuzi: UKAWA wamchagua Ndugai kugombea urais 2025.
Haki madudu yamezidi kiasi kwamba hata jema silioniHapa unaongelea madudu gani yawe mfano, maana amefanya madudu kubao?!
Komba radhi kwake uanona kweli ni kitendo cha kiungwana? Kwa nini? Hakuomba radhi kwa yale aliyosema. Aliomba radhi "kama amemwudhi rais" kwa sababu eti "watu" (??nani) wamekatakata maneno yake. Je hii ni kweli? si alisema uwongo? Maneno gani yalikatwa?Shinikizo la kutaka Spika ajiuzulu ktk nafasi yake limeshikiwa bango zaidi na wafuasi wa Mbowe/Chadema.
Niwazi kabisa Spika alikuwa mwiba mkali sana kwa ktk kusimamia sheria na kanuni za mbunge na haswa kwa wapinzani ambao walitaka kuleta mchezo.
Sasa leo hii hatuwezi kushangaa kuona genge la Mbowe likishangilia na kupiga mayowe eti Spika ajiuzulu.
Kamwe wana CCM Makini wasikubali kuingia ktk mtego huuu.
Inatosha na Inatosha sana kwa kitendo cha kiungwana alicho kifanya Spika cha kuomba radhi.
Kamwe tusikubali kuendelea kumdhalalisha Spika wetu aliye fanya kazi kwa umahiri mkubwa na kuisaidia nchi yetu.
Ni vyema wana CCM wakawa makini ktk kipindi hiki cha upepo mbaya, wapaswa kuwa watulivu na nidhamu ya hali ya juu.
Mungu Ibariki Tanzania.
Kazi iendeleee kama kawaida.
Ila beer zipoNchi ngumu sana hii, spika kajiuzulu, pepsi zimeadimika mjini, joto kama lote, tuhamie Burundi tu kama tulivyoshauriwaga na Mwigulu