Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KabisaHakuna kitu kama hicho.
We lala tu.
Sijaelewa we lala tu au we fala tu?Hakuna kitu kama hicho.
We lala tu.
Sijaelewa we lala tu au we fala tu?
Ukisikia benefits atazopata unaweza kuzimia!Jamaa muoga sana. Angeendelea kupambana tu.
Lakini sio mbaya maana ana kinga tayar.
Huu ni uthibitisho na ushahidi kuwa katiba iliyopo haifa
Watu wasijiulize mhimili umetikisaje mwingine, waulize mihimili inafanyaje kazi
Ule mwingine kwani hamuoni unavyofanya madudu na matapu tapu kwa ile kesi maarufu
Ndugai alikuwa mlinzi wa katiba ya 1977 sasa ni mhanga kwasababu haikumlinda kama kiongozi wa mhimili. Aliishi kwa mazoea na ubabe, good riddance
Kaacha joho kaondoka mtupu ! bila heshima yoyote
JokaKuu
MKUU NIKIKUITA MPUMBAVU NITAKUWA NIMEKOSEA?Shinikizo la kutaka Spika ajiuzulu ktk nafasi yake limeshikiwa bango zaidi na wafuasi wa Mbowe/Chadema.
Niwazi kabisa Spika alikuwa mwiba mkali sana kwa ktk kusimamia sheria na kanuni za mbunge na haswa kwa wapinzani ambao walitaka kuleta mchezo.
Sasa leo hii hatuwezi kushangaa kuona genge la Mbowe likishangilia na kupiga mayowe eti Spika ajiuzulu.
Kamwe wana CCM Makini wasikubali kuingia ktk mtego huuu.
Inatosha na Inatosha sana kwa kitendo cha kiungwana alicho kifanya Spika cha kuomba radhi.
Kamwe tusikubali kuendelea kumdhalalisha Spika wetu aliye fanya kazi kwa umahiri mkubwa na kuisaidia nchi yetu.
Ni vyema wana CCM wakawa makini ktk kipindi hiki cha upepo mbaya, wapaswa kuwa watulivu na nidhamu ya hali ya juu.
Mungu Ibariki Tanzania.
Kazi iendeleee kama kawaida.
Kilichomgarimu sio kusema, amekuwa na makorokocho mengi tu, miaka na Miata.Tuangalie ya kusema kwa wakati na cheo/mamlaka uliyonayo. Imemgharimu pakubwa
Kwendraaaaaaaa ulimuona ? Au na wewe ulishiriki? Ulijuaje?funga domo lako kabla sijakuchapa vibokoBoss wako alikua muuaji. Mungu ampunguzie adhabu za kaburi huko alipo InshaAllah!!
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Huyu jamaa alipoozwa na U ded au Udc?Wadau tuombeane Safari yangu ya kuwania Ubunge wa KONGWA imekamilika kwani Mpiga Fimbo Wagombea wenzake KAJIUZULU niombeeniView attachment 2071367
Unasema!!! Aje nani na wapi!??Aje tu, alie na lake halitofichika.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] mkiambiwa hivo mnapaniki eehKwendraaaaaaaa ulimuona ? Au na wewe ulishiriki? Ulijuaje?funga domo lako kabla sijakuchapa viboko
Hajawahi kutokea shetani tena subiani kabisa kama mwendazake. Ile sio haiba ya mwenye kitovu kilichozikwa ardhi ya Tanzania.Hamia uarabuni kwa mashetani wenzako utuanchie nchi yetu na asili yetu. Ushetani huo si hapa kwetu.
Nakubaliana na wewe. Hata uamuzi huu waweza kuwa umesindikizwa na bahasha nene achilia mbali zile stahiki zake halali.Ukisikia benefits atazopata unaweza kuzimia!