Spika Job Ndugai, amejiuzulu Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Spika Job Ndugai, amejiuzulu Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Wanapasuana ndani kwa ndani mpaka moshi unatoka kwa nje!! Jamani agizeni popcorn tuone sukuma gang na timu msoga nani atashinda
 
Lakini sisi Watanzania Ni Watu wagumu sana na Tusio Eleweka Nini Tunataka.

Tanzania Kuna Mihimili 3 na Hii Mihimili haingiliani Kwa Mujibu wa Katiba, NDUGAI alikuwa kiongozi wa Muhimili wenye haki kikatiba ya Kumkosoa Rais Popote Pale kama wataona Mambo Hayaendi sawa...
Kwani wewe ESPRESSO COFFEE COFFEE unaelewa nini marehemu magufuli alipomwambia CAG musa Assad kuwa kuna muhimili uliojichimbia chini zaidi??

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Mke wa ndugai nae apigwe chini atamsnich mama hata kama ni ngazi ndogo ila apigwe chini hatutaki masnichi.
Hamia uarabuni kwa mashetani wenzako utuanchie nchi yetu na asili yetu. Ushetani huo si hapa kwetu.
 
Sanaaa!!kwani muhimili wa pili wa utesaji awamu 5, umedondoka tena kipuuzi kweli ila Mungu anatisha sana!!ubabe wote ule chaliiii!!!
[emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji122][emoji2532][emoji122][emoji122][emoji122]
 
Mafisi yanararuana hadi raha..hatujui Nani anafuata yaani..wacha tushuhudie hii vita .
 
''Utu wa mtu ni utu inapojaribu kuporwa hutumia hekima nyingi kuitetea.''

Hongera mzee wangu kwakukiri kosa ulilosaliti moyo wako,Hofu yakupoteza nafasi yako ilikusukuma kuuomba msamaha ukajua unaitetea kumbe ndio unaipoteza pole sana, Kama dhamira yako ilikuwa kulililitetea Taifa hili kuomba radhi ulitusaliti Watanzania wote tunaoamini ulikuwa sahihi.

Kama ulizungumza kwa maslahi yako binafsi kujiuzulu ni haki yako lakii pia unalolakujibu Kwa Mwenyenguvu(GOD), Mzee Wangu kuomba kwako msamaha umetualalishia mama yuko sahihi,kama mama yupo sahihi mzee wangu barikiwa sana lakini kama hayupo sahihi kujiuzulu Unastahili ,Mzee Magufuli alikuwa Radhi kubaki mwenyewe kwenye ukweli na wote Tulimuamini ndio maana Tunamuamini aliposema tusiwe na hofu na ugonjwa ule na kweli Taifa halina Hofu na Tumepona.

Hongera kwakutii mamlaka kuendelea kuwa kiongozi huku kiongozi wako wa juu hakuamini Kazi yako ingekuwa ngumu zaidi kutimiza wajibu wako, Umeamua kukaa pembeni ukiamini Ulikuwa unalipotosha Taifa hongera kwakumpisha mama Afanye kazi Na pole Kwakusaliti Dhamira yako..

Maisha marefu Job Ndugai,Pumzika kwa Amani MWAMBA :John joseph Magufuli.
 
Back
Top Bottom