Spika Job Ndugai, amejiuzulu Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Tuangalie ya kusema kwa wakati na cheo/mamlaka uliyonayo. Imemgharimu pakubwa
 
Kufa kufaana,acha na wengine wakaandike historia ya kuukwaa uspika
 

..kilichotokea ni sawa na jambazi Sugu akamatwe na kuhukumiwa kwa uonevu faini kwa kosa la barabarani.

..Job Ndugai amefanya madudu mengi ya kuinajisi Ofisi ya Spika na mhimili wa bunge, na alitakiwa aondoke kwa makosa hayo, na sio kwasababu amekosoa serikali ya CCM na mwenyekiti hapendi kukosolewa.

..Kwangu mimi Ndugai kulazimishwa kujiuzulu ni " NON SENSE. "
 
MKUU NIKIKUITA MPUMBAVU NITAKUWA NIMEKOSEA?
 
Hamia uarabuni kwa mashetani wenzako utuanchie nchi yetu na asili yetu. Ushetani huo si hapa kwetu.
Hajawahi kutokea shetani tena subiani kabisa kama mwendazake. Ile sio haiba ya mwenye kitovu kilichozikwa ardhi ya Tanzania.
 
Baada ya spika job ndugai kuamua kuutema ukuu pale bungeni,hii imeashiria kwamba ndio mwisho wa sukuma gang ndani ya bunge na kwenye serikali Kwan sasa wanaenda kupotea kabisa na hii inaenda kuzalisha kundi kubwa lingine litakaloitwa Samia gang kuanzia ndani ya chama

Wana sukuma gang kwass watakuwa wametulia tuli kama maji ya mtungi Kwan kwasasa watakuwa wazee wa ndiyo tu watake wasitake

Acha tuone Samia gang itakuwa ya namna ipi ni ile ya akina poleple ya kuendesha mavieite au yakina bashiru ya kutotaka cheo lakini mpaka sasa ni mbunge

Nawasilisha!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…