sengobad
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 9,008
- 8,788
Eti anaandika barua kwa katibu wa ccm😤😤😤😤😤Sheria inasema spika anapaswa kujiuzulu mbele ya bunge sasa imekuaje hapa? Afu mbona barua ni kavu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eti anaandika barua kwa katibu wa ccm😤😤😤😤😤Sheria inasema spika anapaswa kujiuzulu mbele ya bunge sasa imekuaje hapa? Afu mbona barua ni kavu
Hata kama ni wewe, utaweza kweli kwenda kukaa viti vya wabunge wa kawaida na kuuliza maswali!Kila la heri Ndugai , zipo taarifa kwamba kesho unajivua ubunge , je ni kweli ?
Aisee kama hujaona na wewe jiuzulu kumuunga mkono ndugai .tusichoshaneRais amevunjiwaje heshima?
We subiri genuine, kimeishanuka. Address ya nini wakati hakuihitajiki reply. Na Bunge huwa ni moja tu.Mode, mimi ni Tomaso, this letter doesn't look real! is this bonafide genuine?. Headed paper gani hii haina address?.
Hiyo barua ya kujiuzulu ikowapi?.
please do the needful.
Update.
Nimethibitisha hii ni kweli, bonafide genuine
Samahani Mkuu Roving Journalist kwa kukudoubt,
Tomaso ndivyo alivyo.
P
Habari njema na Nuru mpya Kwa democrasia , uhuru wa kweli na haki katika taifa letu nauona mwanzo mpya Kwa bunge litakalo tekeleza wajibu wake ipasavyo, Sasa tuhamie Kwa wale wa NEC na wanaokwamisha kupatikana katiba mpya .Spika wa Bunge la Tanzania, Job Ndugai ametangaza kujiuzulu nafasi hiyo leo Januari 06, 2022 ikiwa ni siku chache tangu kusambaa kwa video ambayo alinukuliwa akisema ipo siku Nchi itauzwa kutokana na madeni
Amesema ameandika Barua ya kujiuzulu kwa Katibu Mkuu wa CCM na uamuzi huo ni binafsi na hiari, na ameuchukua kwa kuzingatia maslahi mapana ya Nchi, Serikali na Chama
#JamiiForums
Mbunge wa Kongwa (CCM), Job Ndugai tarehe 10 Novemba 2020, alichaguliwa kuwa Spika wa Bunge la 12 baada ya kupata kura 344 kati ya kura 345 zilizopigwa sawa na asilimia 99.7. Kura moja ilimkataa. Ndugai alikuwa spika katika Bunge la 11 la 2015 - 2020.
Hapo awali akizungumza Desemba 28 katika mkutano mkuu wa pili wa wanakikundi cha Mikalile Ye Wanyusi uliofanyika jijini Dodoma, Ndugai alitetea uamuzi wa Bunge kuanzisha tozo za miamala ya simu, kuliko kuendelea kukopa kwani ipo Siku Nchi itapigwa Mnada
“Juzi mama ameenda kukopa 1.3 trilioni. hivi ipi bora. Sisi Watanzania wa miaka 60 ya uhuru kuzidi kukopa na madeni au tubanane banane hapa hapa, tujenge wenyewe bila madeni haya makubwa makubwa haya yasiyoeleweka. Ni lini sisi tutafanya wenyewe ‘and how’ (na kwa vipi),” alisema Spika Ndugai.
Job Ndugai alihoji wanaofurahia nchi kukopa na kwamba deni limefika Sh70 trilioni.
Kwa mujibu wa taarifa yake kwa umma, Ndugai amesema kuwa amemuandikia barua Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ya kujiuuzulu nafasi hiyo ikibainisha kuwa uamuzi huo wa kuachia nafasi hiyo ameufanya kwa hiari.Job Ndugai: Ipo siku Tanzania itapigwa mnada, Watu tukishakopa tunapiga makofi kujipongeza. Deni la Taifa ni 70 Trilioni
Spika wa bunge la jamhuri ya muungano JOB NDUGAI amedai kuwa kulingana na mwenendo wa deni la taifa kufikia trilion 70 ipo siku nchi ya Tanzania itapigwa mnada amenena maneno hayo baada ya kusema kwamba tozo zote zamiamala ya simu zilizopitishwa na bunge zilipitishwa kwa lazima kwani wananchi...www.jamiiforums.com
“Naomba kutoa taarifa kwa uma wa watanzania kuwa leo Tarehe 06 Januari 2022 nimeandika barua kwenda kwa Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kujiuzulu nafasi ya Spika wa Bunge la Jamhuri wa wa Tanzania” imesema sehemu ya taarifa hiyo nakuongeza
“Pia nakala yangu hiyo ya kujiuzulu nimewasilisha kwa katibu wa Bunge
View attachment 2070821
Absolutely! Alikosea sana kuomba radhi, hapo nilimshangaa sana. Ila kitendo cha kujiuzulu kwangu ni kitendo cha kishujaa kabisa. Ni watanzania wangapi wakipishana mawazo na watawala wanachukua maamuzi magumu kama haya ya Ndugai na Lowasa?Alitakiwa ajiuzuru bila kuomba ule msamaha na hapo ndipo lengo la anachokiamini kingekuwa hai
Karma!!hii kitu ni mbaya sana, yaani hakuna aliyekuwa anaweza kuwaza kuwa kuna siku hiki kidubwana kitaweza kuanguka kirahisi hivi!!!
karibuModerators hodi!
.... hiyo sio barua ndugu! Ni TAARIFA KWA UMMA kwamba Ndugai kaandika barua ya kujiuzulu! Barua yenyewe haijaletwa humu; duh!Najua hio barua ameandikiwa huo sio mwandiko wa mnazareth
Sent from my SM-G960U1 using JamiiForums mobile app
Yaani nilishangaa mno kwa vijembe vyake kwa marehemu na kuruhusu mijadala ya kumchafua marehemu. Mnafiki Sana huyu kenge wa Kigogo. Na ubunge astaafu kabisaHana ujumbe wowote huyo alimpinga magufuli kabla hata mwili wakke haujaoza mnafiki mkubwa.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
🙌😂😂😂Alikuwa anadhani upinzani ni jambo rahisi, amekuwa mpinzani ndani ya wiki tu na uspika ameukosa.
Mungu akulinde usije kupotea Kama Veronica France.Ninadumisha mila. 😂