Spika Job Ndugai, amejiuzulu Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Spika Job Ndugai, amejiuzulu Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Naona kama vile Job ameonewa tu.
Bunge ni muhimili unaojitegemea. Pia Kazi ya Bunge ni kutunga sheria, kukosoa na kuisimamia Serekali. Hivyo Job kuikosoa Serekali ilikuwa haki yake ya Kikatiba.
Ni muhimili unaojitegemea akilini ila kimaandishi sivyo hivyo😅 raisi ni supreme power😅
 
Majizi ya kura yanazidi kudhalilika.

Ujinga wa 2020 utawarudia tu hata muende wapi
 
Sasa atakuwa anakaa kwa wabunge wa kawaida. Nikikumbuka tambo zake"Mimi nitakufungia usichangie chochote hadi bunge liishe "😂😂.Sasa speaker anakuja mzanzibari.
Dada Tulia anaenda kuwa speaker rasmi. Wanawake hoyee
 
stress juu ya stress....
kameambiwa kana homa ya 2025.... hahahaaaaa....
ila haka kadingi kalikuwa hakana msimamo kabisa....
bora kakae pembeni....
 
Sasa atakuwa anakaa kwa wabunge wa kawaida. Nikikumbuka tambo zake"Mimi nitakufungia usichangie chochote hadi bunge liishe "😂😂.Sasa speaker anakuja mzanzibari.
Na kwa stress alizonazo sidhani Kama atamaliza huu mwaka bila kumfuata dikteta
 
Naona kama vile Job ameonewa tu.
Bunge ni muhimili unaojitegemea. Pia Kazi ya Bunge ni kutunga sheria, kukosoa na kuisimamia Serekali. Hivyo Job kuikosoa Serekali ilikuwa haki yake ya Kikatiba.
Kaonewa vipi wakati kaachia ngazi mwenyewe.
 
Back
Top Bottom