dudus
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 23,782
- 54,213
... nchi hii Rais ni alfa na omega?Hayapinduki yana mipaka yake. Ndugai alikosea kusema nchi itauzwa wakati akijua fika kuna MKUU WA HIYO NCHI.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
... nchi hii Rais ni alfa na omega?Hayapinduki yana mipaka yake. Ndugai alikosea kusema nchi itauzwa wakati akijua fika kuna MKUU WA HIYO NCHI.
Ni muhimili unaojitegemea akilini ila kimaandishi sivyo hivyo😅 raisi ni supreme power😅Naona kama vile Job ameonewa tu.
Bunge ni muhimili unaojitegemea. Pia Kazi ya Bunge ni kutunga sheria, kukosoa na kuisimamia Serekali. Hivyo Job kuikosoa Serekali ilikuwa haki yake ya Kikatiba.
Dada Tulia anaenda kuwa speaker rasmi. Wanawake hoyeeSasa atakuwa anakaa kwa wabunge wa kawaida. Nikikumbuka tambo zake"Mimi nitakufungia usichangie chochote hadi bunge liishe "😂😂.Sasa speaker anakuja mzanzibari.
Amenipiga ngumi ya jicho nami nimerudisha nimekosea?😂😂😂wakuu leo mtauwana humu jukwaani
Amenipiga ngumi ya jicho nami nimerudisha nimekosea?😂😂😂wakuu leo mtauwana humu jukwaani
Hujakosea mkuu😀Amenipiga ngumi ya jicho nami nimerudisha nimekosea?
Na kwa stress alizonazo sidhani Kama atamaliza huu mwaka bila kumfuata diktetaSasa atakuwa anakaa kwa wabunge wa kawaida. Nikikumbuka tambo zake"Mimi nitakufungia usichangie chochote hadi bunge liishe "😂😂.Sasa speaker anakuja mzanzibari.
Aisee ana wakati mgumu sana, bora ajiuzulu na UbungeSasa akiuliza hayo maswali si watamgeuzia kibao kwa maana kama ni mikataba ilipitishwa kipindi yeye mwenyewe akiwa spika! [emoji2377][emoji2377][emoji2377]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Alivyokuwa anaupenda huo Uspika..Atakuwa ametaitika vilivyo...Hana jinsi...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kaonewa vipi wakati kaachia ngazi mwenyewe.Naona kama vile Job ameonewa tu.
Bunge ni muhimili unaojitegemea. Pia Kazi ya Bunge ni kutunga sheria, kukosoa na kuisimamia Serekali. Hivyo Job kuikosoa Serekali ilikuwa haki yake ya Kikatiba.