FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Vyovyote iwavyo, kukopa trillion 10 ndani ya miezi 9 kwa miradi isiyo ya kimkakati kama madawati nk. ni jambo lisilo kubalika, na hili lazima litaondoka na wengine!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila Ndugai ana kiburi sana,barua ya kujiuzuru anaandika kwa herufi kubwa namna hii😁Barua hiyoView attachment 2070763
Nakumbuka kipindi fulani Bungeni alikuwa anasema hivi " Muache, Muache, we Muache aingie kwenye 18 zangu"."Cheza na kitu nyingine yoyote lakini sio Ndugai" by Jobo Yustino Ndugai
Hadi vyombo vya habari vya kuaminika vimetangaza...Hii fake.
Umeanza na meng sanaaaaNa ndio kwanzaa umeanza.
Pascal Mayalla nina swali naomba unijibu mkuu...Mode, mimi ni Tomaso, this letter doesn't look real! is this bonafide genuine?. Headed paper gani hii haina address?.
Sio kweli!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ameona ugumu wa kuwa mpinzani, week moja tu kaachia ngazi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mode, mimi ni Tomaso, this letter doesn't look real! is this bonafide genuine?.
Hii fake.