Spika Job Ndugai, amejiuzulu Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Spika Job Ndugai, amejiuzulu Uspika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Vyovyote iwavyo, kukopa trillion 10 ndani ya miezi 9 kwa miradi isiyo ya kimkakati kama madawati nk. ni jambo lisilo kubalika, na hili lazima litaondoka na wengine!!
 
Hivi wakuu ile kinga alowekewa spika bado ipo? Wengine ni kina nani vile walowekewa ukiondoa Rais?
 
Kuna mambo ya kando hatuyajui, lakin ukichekecha hapo utajua kuna viongoz wengi kwa sasa hawana raha na huu uongozi mpya
 
Mode, mimi ni Tomaso, this letter doesn't look real! is this bonafide genuine?. Headed paper gani hii haina address?.
Pascal Mayalla nina swali naomba unijibu mkuu...

Kwanini barua ya spika ya kujiuzulu ameituma kwa katibu wa chama??? Ni kwamba ndio mwajiri wake? au protocal imekaaje hapo..

Yaani Spika boss wake ni Katibu wa Chama?
 
Daah! Hii ni kweli? barua tunaomba tuione ndio tutaaamini.sisi wa vijijini hatujui kama kajiuzulu.
 
Alishabikia kumwondoa CAG kinyume na taratibu na yeye ameondoka kwa utaratibu huo huo.
Ukivunja katiba,katiba hiyo hiyo itazunguka ikuvunje wewe.
Katiba ni sheria mama.
 
Duh, Raisi wa nchi akifia madarakani, nchi hutikisika, hata hivo tumshukuru nungu.
Bado tupo salama.
 
Back
Top Bottom