Hii ndiyo bongo dsm ukilemaa umeachwa feriKwani nini kinashindikana, mwili unazikwa kwa sababu za kiusalama halafu pale mnaletewa jeneza tupu na halifunguliwi, kuna jambo linashindikana bongo!
Sent using Jamii Forums mobile app
Misikitini hakuna sadaka za masheik.Pamoja na kwamba mimi sio muumini wa mikusanyiko kipindi hiki cha hili dudu mtu, ilà ni muhimu serikali ikaangalia sana swala la watu kwenda ibadani.
Sijui Meku anawaza nini ila sio lazima watu kwenda kanisani na misikitini kwa sasa. Viongozi wa dini wame-prove kuwa selfish na self-centred, wao wanafikiria sadaka tu, ilà ni wakati sasa watu wasiende huko.
Ungenijibu tu ili nione mantiki ya hoja yenu.Mkuu hao 254 wanaougua corona unadhani wameipata wapi?
Mkuu, kuna Brig Gen Sylvester Hemed amekufa huko Changanyikeni - DSM. Nimeambiwa msiba upo,japo jeshi ndio linasimamia. Waombolezaji wapo,mkusanyiko upo. Na atazikwa kama kawa kwa heshima za kijeshi.Tigershark,
Hii si lazima iwe ni korona Bali inaonekana ni tahadhari dhidi ya korona. Hivi unadhani kama watu wakiruhusiwa kuhudhuria ni maelfu wangapi watahudhuria? Kwa mazingira ya sasa haiwezekani!!
Acha kulinganisha vitu na watu wewe,Idadi ya watu si hoja! Hoja ni kuwa shujaa wa imani amelala! Mazishi ya Lazaro kwenye biblia hayakuhudhuriwa na watu wowote lakini alipokelewa kifuani pa Ibrahimu na kuburudishwa!!
Baba wa Simbachawene kazikwa na watu kumi mara ngapi?Acha kulinganisha vitu na watu wewe,
Kwani kuwa na corona unadhani ni ishu basi tatizo watu wamesahau kuwa bado maradhi yetu yaleyale ya siku zote ndio yanaondoa watu kama kawaida.Watu mnapenda kuhisi, sasa huyu mama corona kaipatia wapi?
May her soul rest in peace.
Wapi huko mkuu?Bishop Nyaysonga anaongoza ibada ya mazishi ya padre aliyefariki Radio Maria tz inaripoti sasa hv watu nyomi wapo.........