Spika: Mazishi ya Mama Rwakatare yatahudhuriwa na watu wasiozidi 10, Serikali itasimamia

Ukiwa na Corona halafu una presha aisee inapanda fasta kama tairi inayojazwa upepo. Mishipa inapasuka na inakuwa bai bai hivyo.
Basi wabongo tutakwisha maana wengi wetu ni spiner mkononi
 
Kweli dunia ya leo ina watu waajabu sana. Wameruhusu watu 10 kumzika swali kwa nini watu 10. Wangeruhusu wato 10000 watu wangeuliza kwa nini watu wote hao 10000.

Huwa natafakari sana jinsi Mungu anavyotubeba watu wa siku hizi. Yaani ingekuwa kipindi kile kabla ya Yesu leo tungekuwa tunaona watu wengi wakiangamia sana kwa adhabu za Mungu
 
Nilivyosikia ni watu wa serikali wasiozidi 10.
Watu wasiozidi 10. Halafu wewe liccm tumia akili. Yani wafuasi wa mlima wa moto waende kwa maelfu halafu wao serikali wajipangie waende wasiozidi 10? Yani mbunge asiagwe kwa heshima ya serikali kuhofia halafu waruhusu watumishi wakakusanyane?
 
Corona huwa ni dubwasha fulani hivi. Nadhani lina uhai na linasikia. Maana wote walioikosea adabu imewavaa kisawasawa.

Umesema jambo moja kubwa sana ingawa limekuja kama mzaha.

Kuna watu kadhaa ambao walilikebehi hili dubwasha wakaishia kuwa waathirika. Kwa haraka haraka nimemkumbuka mchezaji mmoja wa NBA alifanya utani kwa kushika mics za waandishi wa habari, Pastor mmoja wa Marekani, PM wa Uingereza.....
 
Maskini mama wa kisulisuli ameacha ametuombea ule upepo alousema Siku moja upepo huo utatokea. Amina.

Rip mama GR.
 
Na kesho wafuasi wa mlima wa moto watakuwa Karimjee. Bundi bundi mie
 
Idadi ya watu si hoja! Hoja ni kuwa shujaa wa imani amelala! Mazishi ya Lazaro kwenye biblia hayakuhudhuriwa na watu wowote lakini alipokelewa kifuani pa Ibrahimu na kuburudishwa!!
Kumbe huyu ni mtume...hivi Lazaro alishangilia mauaji eti? Hivi Lazaro nae alikua na mapete ?
 
BUNGENI "Familia ya Marehemu Mama Rwakatare imeomba mambo mawili serikalini, ikiwezekana mama yao azikwe kwenye eno la Kanisa la Mlima wa Moto, pia wameomba iwe kesho kutwa Alhamis Aprili 23. Serikali imekubali na itasimamia mazishi hayo ambayo washiriki hawatazidi 10"- Ndugai
 
Ngoja tuone hayo mazishi yatakuwaje, kama ni COVID tutaona.
 
Tigershark,
Hii si lazima iwe ni korona Bali inaonekana ni tahadhari dhidi ya korona. Hivi unadhani kama watu wakiruhusiwa kuhudhuria ni maelfu wangapi watahudhuria? Kwa mazingira ya sasa haiwezekani!!
Mbona kuna sala ya jamaa na mgeni rasmi ni waziri mkuu unadhani watu wangapi watahudhuria?
 
Waseme tu ukweli huku bado misiba tunazika zaidi ya watu mia sema tu mita 1 inazingatiwa
 

Hili Dude noma sana ukisikia mazishi ya watu 10 ,fahamu tayari vipimo vimejibu positive.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…