Kwa kukanusha UONGO wenu..!!!???Pigo takatifu kwa huyu mtu linakuja tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa kukanusha UONGO wenu..!!!???Pigo takatifu kwa huyu mtu linakuja tu
Gwajima ndio stering mwenyeweHapa alidakwa akiwa chemba anaagalia sinema ya ngono ya madada wa bongo movie. Jamaa anahusudu sinema za X huyu sijapata ona hapa bongo. Nafikiri anaweza kuwa wa pili maana anayeongoza ni Kikwete na hana mfano.
Watu wanakunya porini watapata wapi akili?Toka lini mgogo akawa na hakili zuzu
Kumbe Lissu alishakanusha Sasa nongwa ya nini. Halafu Kama hatuko biassed mbona hakuna comment au hata thread Moja jueleza hilo.Kulikuwa kuna haja gani ya kumshambulia Lissu?Kama ni kujibu angejibu tu kuwa hakuna anayedai na Lissu ameshalipwa!
Hiyo ya kuanza kumsakama Lissu kuwa kama ameishiwa huko Ulaya aseme,kwani Lissu ndiye kaeneza huo uzushi?
Isitoshe kabla ya kauli ya Ndugai,Lissu mwenyewe alikanusha uzushi huo wa mitandaoni na kusema si kweli!
Hapo ndipo watu wanamuona Ndugai ana chuki binafsi na Lissu!
Kama hujaliona hilo basi jitafakari uwezo wako wa ufahamu!
Kabla haiamuliwa kuwa Ni mtoro mtumishi atalipwa stahiki zake zote. Nafikiri hayo Ni matakwa ya sheria mpaka pale itakapoamuliwaStahiki gani alizolipwa Lissu?
Huyu spika wakati akitangaza kumvua Lissu ubunge sababu iliyotolewa ni kwamba bunge halina taarifa za wapi alipo (mtoro).
1. Sasa leo tena anasema alilipwa, iweje bunge lilipe stahiki za mtoro?
2. Kama alilipwa stahiki maana yake bunge lilikuwa na taarifa za wapi alipo, kwa nini alivuliwa ubunge?
Kuna maombi ya huyu Mkenya, tuyaelekeze kwa saboofer!Ndugai hajapona ugonjwa wake kichwani, dah Mungu si atusaidie tu kwa huyu coconut head aliyeharibu bunge.
Mara nyingi watu wanakosea sana kwa kugeuza misemo ya wahengaSPIKA NDUGAI: HAKUNA ANAYELIDAI BUNGE, "KAMA MTU AMEISHIWA HUKO ULAYA SI ASEME"
Spika wa bunge Job Ndugai amewaonya wanaotoa taarifa za upotoshaji zenye lengo la kulichafua bunge kuacha kufanya hivyo kwa kuwa sasa hatua zitaanza kuchukuliwa ikiwemo kuitwa kwenye kamati ya maadili ya bunge
Spika Ndugai ameyasema hayo bungeni Dodoma leo Juni 25,2021 wakati akitolea ufafanuzi wa orodha inayozagaa kwenye mitandao ya kijamii ikionesha majina ya waliokuwa wabunge wa bunge la 11 likiwemo la Tundu Lissu kuwa wanalidai bunge hivyo walipwe
Spika amesema taarifa hiyo ni ya uongo kwa kuwa ilikuwa ya mwaka 2018 na kwamba hakuna mbunge wala aliyekuwa mbunge hata mmoja anayelidai bunge
"Na hata huyo mtu wao alilipwa kila kitu, ila zilipoingia benki walizichukua zote, na kama mtu kaishiwa huko ulaya alipo si aseme tu, bunge ni taasisi iliyopo makini na haimuonei mtu, hakuna hata mmoja anayeidai" amesema Spika Ndugai
==========
"Na hata huyo mtu wao alilipwa kila kitu, ila zilipoingia benki walizichukua zote, na kama mtu kaishiwa huko Ulaya alipo si aseme tu, Bunge ni taasisi iliyopo makini na haimuonei mtu, hakuna hata mmoja anayeidai"
Amesema Spika Ndugai
===========
Spika Ndugai akiwa Bungeni leo Ijumaa Juni 25, 2021 amekanusha Tangazo lilitoka na kuelezea madai ya wabunge wanaolidai Bunge.
Spika Ndugai: Jana kuna tangazo fulani lilitoka la majina mengi kwamba limetolewa na TRA, katika majina yale mengi ya wizara mbalimbali yapo na majina ya wabunge wa Bunge la 11 lililomaliza muda wake.
Kumbe lengo lao ni kumfatilia mtu mmoja tu wanayemtaka wao kuonyesha ana madai fulani bungeni lakini Orodha imetolewa ndefu na wakaanza kumshambulia Spika na kuchonganisha na kadhalika.
Tangazo hilo ni la uongo, ni tangazo lilikuwa la mwaka 2018 huko nyuma na malipo hayo yalisharekebishwa na niwaambie wabunge wa Bunge ambalo limemaliza muda wake maana wengine hali ni mbaya huko, sasa walipoona lile tangazo, simu ya spika imejaa bwana tuna madeni tunadai kwako.
Hakuna anaedai Bunge, hakuna. Katika chombo ambacho kinafanya kazi vizuri, kimojawapo ni bunge. Hakuna anaedai na kama mtu ameishiwa huko Ulaya au wapi si aseme tu kuliko kusingizia Bunge kila wakati kwamba kuna madai, hakuna anaedai, hayupo na hata huyo mtu wao alilipwa kila kitu.